Unapochambua mpira sahau kuwa unashabikia timu gani, chambua mpira tu kwakuwa kusema ukweli hakutasababisha timu yako ishinde au ishindwe.
Wachambuzi wengi wa hivihivi walikuwa wakimdogosha kocha wa Yanga, Mangoba dhidi ya Barker bila kujali wachezaji walioko kwenye vikosi vyao. Uchambuzi wa...