yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga bado uswahili na ubabaishaji unatusumbua

    Kiukweli ukiangalia namna GSM na viongozi wa Yanga wanavyoendesha timu kiukweli inashangaza sana. Nilitoa uzi hapa nikiziomba timu zetu zinazowakilisha nchi zijikite kwenye maandalizi ya uhakika kwa kucheza walau mechi zisizopungua nne ili kuimarisha vikosi na pia kuwaweka wachezaji katika...
  2. M

    Yanga SC na GSM na hawa Wakongo Watatu nao pia wanaomba Usajili Kwenu, ili Jangwani Music FC Band ikamilike

    1. Diblo Dibala (Soloist) 2. Bileku Mpasi (Rapper) 3. Allain Kounkou (Dancer) Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
  3. M

    Wanayanga SC mmemsikia na kumuelewa Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM na TvE?

    Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii? Chanzo: Twita Akaunti yake.
  4. Nashauri Uongozi Wa Yanga SC utumie Kikosi cha Kagame Cup kumenyana na Rivers United FC

    Hapa hamna timu kabisa unaweza kuta mmeikamia mechi kumbe hata madogo wa U20 wangeweza kuitafuna kirahisi. Kupangiwa kiTeam ambacho kimemaliza ligi ya Nigeria nafasi ya ni sawa na kucheza na Polisi Tanzania ya Ligi KUU Tanzania Bara. Inaonekana hii timu imepata mbeleko ya kubeba kombe la NPFL...
  5. M

    Yanga SC bwana

    Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
  6. Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  7. Naomba kujuzwa kinachoendelea katika michuano ya kombe la Kagame

    Wasalaam, Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!! Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
  8. Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  9. A

    Ilikua lazima Mo Dewji aweke bilioni 20 baada ya Azam kutoa mkataba mnono Yanga

    Habari Wana michezo poleni wanachama wenye team yenu sababu mnaponzwa na mashabiki Kwan wao wanacho taka ni furaha tu Leo Mo katangaza kuweka Ile B20 ya hisa 49 kitu ambacho asinge fanya kama yanga wasinge Pata dili nono Tena Mara mbil ya pesa anayo Lipa Mo-Dewji kwa kumiliki hisa 49 milele uku...
  10. Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  11. Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
  12. C

    Kazadi Kasengu haendi Yanga, ulikuwa uongo mtakatifu

    Ukweli ni kwamba kuna viongozi pale utopoloni wakishirikiana na kundi la Yanga WhatsApp la kina Mo Kabwe na kina Jimmy Kindoki kazi yao kila siku ni kutengeneza makorokocho kudanganya wana utopolo, and oh boy it works perfectly! Juzi tukaambiwa Kazadi Kasengu yuko kwenye ndege anakuja Bongo...
  13. C

    Ben Malango: Straika lililohitajika Yanga lauzwa Uarabuni kwa bilioni 8

    Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
  14. Ushauri kwa Yanga SC

    Penye ukweli usemwe Kwa Mpira ule yanga mkicheza CAFCL, Mifaulo kama ile, miguu yashingo miguu ya roho Mapema tu mtalaum malefa.
  15. M

    Meneja wa Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata Mchambuzi Jemedari Said Unafiki Kwake mwiko japo ni mwana Yanga SC lia lia

    jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana..... Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
  16. M

    Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  17. M

    Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  18. Mechi ya Simba na Yanga

    Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa [emoji23][emoji23][emoji23] sembuse kigoma Ni Bora sisi wa...
  19. Simba SC tafadhali hili la Yanga SC Kumkataa Mwamuzi wa ASFC Final Ahmed Aragije liangalieni 'Kiujasusi' zaidi

    Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC. Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao...
  20. Mbinu hii ya Yanga SC si tu ni ya Kishamba bali pia ni ya Kipuuzi vile vile

    Kila pale Mechi ya Yanga SC na Simba SC ikikaribia tu ni lazima Klabu ya Yanga itaibuka na Kumtahadharisha Mwamuzi ( Referee ) Kitendo kilichofanywa leo na Yanga SC cha Kumkataa Mwamuzi Ahmed Aragije si tu ni cha Kishamba bali pia ni cha Kipuuzi (Kipumbavu) sana. Na bahati nzuri ukiyasikiliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…