yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

    Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said. Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC...
  2. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona katika mechi ya Yanga vs Rivers United

    Binafsi nimeona haya Mosi: Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo. Nilirudi sasa kwenye ufundi Rivers walianza na Viungo 5 wenye uwezo mkubwa wa kukaba. Yanga ilianza na kiungo mkabaji mmoja ambaye ni Zawadi Mauya, na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  4. maatope

    JamiiForums Tanzania Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

    Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha Anyway labda ni...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

    UPDATES 00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu. 03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers 05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Uungwana huu wa Yanga SC juu ya Msiba wa Hanspoppe, sina cha Kuwadai na niseme tu Asanteni sana wana Yanga SC wote duniani

    Kitendo cha Klabu ya Yanga kuja na Taarifa ya Pole kwenda kwa Simba SC, Wapenzi wa Simba SC na Familia yake Marehemu kama Mdau mkubwa wa Simba SC nimekipokea kwa Picha iliyo Chanya kabisa. Yanga SC na Simba SC tunataniana mno na Kufanyiana Fitna za kila aina ila kwa huu Uungwana, Ustaarabu, Utu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete awapasua wana Yanga na Haji Manara

    Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu. "Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea...
  8. logframe

    JamiiForums Tanzania Yanga imrudishe Kpah Sherman

    Tabia ya kutokuwa wavumilivu ndo inaiponza klabu yetu. Huyu jamaa ni striker mzuri sana. Alipita Yanga ya 2015 na akina Bossou Jana kaisaidia Liberia kwa kufunga bao pekee dhidi ya Central Africa Republic. Ni kati ya Wafungaji hodari huko Malaysia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaani kabisa Viongozi wa Yanga SC ( hasa hasa GSM ) mmefikia kuwa na huu Usanii ili mteke Akili za wana Yanga wawaamini?

    Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu? Haya GSM hebu Wahongeni basi na Mabeki wa River United FC mnaocheza nao CAF CL Siku ya Jumapili...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

  11. M

    JamiiForums Tanzania Ziara Maalum ya RC Makalla Kigamboni yabaini eneo la Avic Town na GSM walilopewa Yanga SC lina Mgogoro wa Ardhi

    Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao. "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

    Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni. Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kocha Senzo Mazingiza kaanza mkono wa chuma huko Yanga

    Jamani kama hauna popcorn kanununue haraka sana tena shushia na MO juice na kama una roho ndogo basi katafute Mo energy upate nguvu, Mzulu keshaanza mambo yake huko vyura vyurani bora hata anko Msolwa kastuka mapema na kuleta protection ya Davis Mosha na seif magari, aisee hii ngoma tamu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, ni saa ngapi unaenda kukinukisha Yanga SC baada ya kukereka na dharau uliyoonyeshwa?

    Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali. Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SC

    Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu linalosubiri Kutupasukia Anaandika Hemed Kivuyo. Wananchi leo ni Siku yetu, tusherehekee tufurahi...
  16. B I N A M U

    JamiiForums Tanzania Yanga ina kikosi imara sana

    Kikosi cha yanga kwa Muda waliokaa kambini ni Mchache sana na ukizingatia Safari za hapa na pale! 1st Goalkeeper, Djigui Diarra ni bonge Moja la Mchezaji, hata uwe mnafiki vipi Lazima kazi yake utaikubali tu, Magoli aliyofungwa ni Makosa ya kimpira tu Tumpe Mechi Tano tu Then ndio tuanze Lawama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ingeshinda leo Watangazaji na Wachambuzi walipanga kusema haya Kesho ila kwakuwa imefungwa watasema hivi..

    Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo.... "Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

    Mlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

    "Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mabaya dhidi ya Yanga SC niliyoyasema nikiwa Simba SC ilikuwa kusherehesha tu

    "Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba SC na wana Yanga SC watakaoniamini shauri zao", Haji Manara. Chanzo: EFM Sports Headquarters leo...
Back
Top Bottom