yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako. 1. Mtaji wa Kampuni Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
  2. O

    Usifanye sehemu ya biashara yako kuwa kama chumba chako

    Kuvua viatu ILI unihudumie hiyo haipo na siwezi kununua au kwenda maeneo yenye sheria HIZO HATA kama Nina viatu vya kupachika.. Naingia pokea PESA yangu utafanya usafi hutaki subiri jamaa ZAKO iwe biashara ndogo au KUBWA jifunze biashara sio maghetoni
  3. K

    Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
  4. L

    Unahitaji Hizi Documents Sita (6) ili Kusajili Kampuni yako TRA

    Habari mjasiriamali, Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA. 1. Copy ya TIN certificates za directors Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors...
  5. Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

    Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa, mimi nina Perfume Nail cutter Lotion Body spray Lip gloss Aftershave Tweezers bila kusahau mafuta ya nywele So what am I missing here?
  6. Hivi Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako anaweza kujua jina lako

    Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako au hata akaunti zako za mitandao ya kijamii Nauliza hivyo kwa sababu Leo mchana Kuna mwanadada...
  7. Maamuzi ni yako

    Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka Mwanasiasa (mbunge) = 141.6 million plus posho kwa mwaka Drug dealer= 1 siku 300million NB, ni makadirio sijaangalia scale zao...
  8. Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  9. Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  10. Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  11. 4

    Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  12. Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
  13. Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  14. Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  15. Je unachangamoto meno yako kuoza au Kutoboka na hujui Wapi Utapata Suluhisho!? .

    Meno yaliyooza au kuvunjika yanaweza pata tiba ya kuziba ( kujaza dawa/ kofia jino ) ili kuondoa harufu mbaya kinywani, Maumivu, uvimbe ili kukuwezesha kutafuna chakula vizuri , kuondokana na maumivu , pia uweze kuwa na afya bora ya kinywa na meno Baadhi Ya kazi Za Kuziba meno na kofia...
  16. R

    My reasoning is simple and clear: Kama hueshimu "sovereignty " ya watu wako, then dunia yenye akili inabidi isiheshimu sovereignty yako

    Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa. Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani, WHATEVER COMES TO THEIR RESCUE IUNGWE MKONO. Kisingizio cha sovereignty of Venezuela collapses...
  17. I

    Spec Ndogo Inayoamua Kama Upgrade Yako Itafanikiwa au Itakwama

    Spec Ndogo Inayoamua Kama Upgrade Yako Itafanikiwa au Itakwama Kwa miaka ya karibuni, SSD zimekuwa chaguo la kawaida kwa watumiaji wa laptop na desktop wanaotaka kuongeza kasi ya mifumo yao. Watu wengi huangalia vitu vinne tu kabla ya kununua SSD: uwezo (capacity), kasi (speed), bei, na brand...
  18. Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
  19. Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

    Hi people, Heri ya mwaka mpya Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi Kingine...
  20. K

    Kulingana na desturi yako unasherehekeaje Mwaka mpya 2026?

    Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia husherehekea Mwaka Mpya kwa wakati tofauti na tarehe 31 Desemba, kwa sababu hutumia kalenda tofauti. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…