yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  2. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za Kilo 4.5 - 120,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536. Karibuni sana wateja
  3. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3 - tsh 120,000 tu Kilo 4.5 - 350,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536...
  4. JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  5. JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu akikutishia kukuua wewe na familia yako unatakiwa kufanyaje?

    Habari wakuu. Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote. Je nichukue hatua gani wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

    Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara, Punde baada ya kumaliza chuo ,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile. Natembea barabarani kwa kuvimba Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani. Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...
  8. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kutokukata Tamaa: Mdau, Hadithi Yako ya Mafanikio ni Ipi?

    Katika safari yako ya mafanikio, ni wakati gani ulijikuta karibu sana na kukata tamaa? Ni nani au nini kilikusukuma uendelee mbele? Tunapenda kujua hadithi yako na mambo yaliyokupa nguvu ya kusimama tena na kuendelea kupigania ndoto zako.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ulitongoza mwanamke wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
  13. JamiiForums Tanzania Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

    Eeh bhana Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha. Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo. Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Miliki pikipiki yako ya TVS

    Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana. Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu. Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu. Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya...
  15. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
  16. JamiiForums Tanzania Kitu kikubwa unachopaswa kufanya ni kuwaruhusu wanaotaka kuondoka katika maisha yako waondoke

    Hakuna uamuzi wa busara katika maisha yako kama kuwaruhusu wanaotaka kuondoka waondoke, hii itakupa machungu kwa muda fulani lakini baadae utapona. Usianze kubembeleza na kusaga meno kwasababu tu mpendwa wako anataka kuondoka katika maisha yako, kumbuka sio kila mtu atakuwa na wewe daima katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Usifanye watoto wako wachukie wajomba na baba zao wadogo kwa matatizo yako 😊

    USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊 1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba. 2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe kwa 100% 3 Wakikuta una chumba kimoja mnabanana humo wa kulaumiwa ni wewe na sio mjomba...
  18. JamiiForums Tanzania Ni zamu yako tunasemaje kwa kingereza" jifunze hapa

    Hili ni swali kutoka kwa mmoja wa wafuatiliaji wa ukurasa wetu kutoka mkoani Mara. Ukitaka kusema ni zamu yako, huwa tunasema “It’s your turn…”. Kuna baadhi huwa wanasema “It’s your duty….”. Hii sio sahihi, kwa muktadha wa zamu. Wengi wanaosema “It’s your duty”, husema hivyo kwa kuwa shuleni...
  19. JamiiForums Tanzania Mahusiano ni maisha: Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako

    Shalom, Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako. Tuendelee na maisha matamu Wadiz
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako

    Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako, Kwa kusafishiwa kupitia njia ya kisasa kabisa ambayo inazifanya taa zako kurudi katika ubora wake Huduma hii imewavutia watu wengi wa jiji la mwanza maana imewasaidia kuepuka kuingia gharama kubwa za kununua taa mpya. Badala ya kutoa Tsh 400,000...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…