yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Kati ya muonekano wako na miaka yako nani amezeeka?

    HOW OLD ARE YOU? (UNA MIAKA MINGAPI?) Katika somo hili fupi tunajifunza jinsi ya kuuliza umri wa mtu Tuanze ...... Kuuliza umri wa mtu huwa tunasema: How old are you? Tamka ‘HAU OULD A YUU? – Una miaka mingapi? Kwenye kujibu huwa tunasema I’m ………… (unataja miaka yako) ikifuatiwa na maneno...
  2. Hii ndiyo Njia yako ya uhakika ya kutokea

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu hapa duniani huwa ana njia yake ya uhakika ya kutokea, njia ambayo inamfikisha kwenye mafanikio makubwa. Lakini wengi wamekuwa hawafanikiwi kwa sababu wakifika kwenye njia hiyo, wanabadili njia au kuacha safari kabisa. Yaani ni sawa na mtu anayetafuta mlango...
  3. Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  4. Mwanandoa tafuta furaha yako mwenyewe

    Mambo ambayo huja baadae kusababisha kuiona ndoa ni chungu ni kuwa na matarajio makubwa kwa mwenza wako,,hii sio sawa hata kidogo,hatuna budi kutafuta namna ya kutafuta raha katika nafsi zetu wenyewe. Kuna wakati hutaambiwa unapendwa kama zamani lkn hii isikufanye ukose furaha na amani katika...
  5. Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  6. PS 3 GAME KWA AJILI YAKO AU WATOTO WAKO NJOO UCHUKUE

    Ps 3 hiyo, wafurahishe watoto wako kipindi hiki cha likizo 300 k Games za kutosha Nipe 300k tu Temeke. MORTAL KOMBAT GTA 5 NEED FOR SPEED ARMY WAR SPIDERMAN
  7. Fanya Hivi Kukuza Mauzo Yako Zaidi Ya Mara Mbili Kwa Uhakika

    MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa naufananisha na mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu. Mfumo wa upumuaji huwa naufananisha na masoko. Pumzi ni muhimu, bila hiyo mtu anakufa. Lakini damu pia ni...
  8. Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
  9. Nahitaji sana 'Critical Thinking' yako katika hii Taarifa tafadhali

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018. Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
  10. Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
  11. N

    Muamulie ugomvi rafiki yako pale anapokuwa amekandamizwa pekee

    Unakuta mtu mmeshazikunja na mtu anytime kina happen halafu anakuja mtu Kwa nyuma anakuvuta vuta mikono je ukipigwa ngumu ya ghafla na adui. Rafiki mzuri akikuona mnazipanga anatulia kwanza Mpaka uzidiwe Kwa kukandamizwa labda chini ndo aje kuamulia. Sio mtu anakuja nyuma anakubana mikono ooh...
  12. Nini kilikufanya usifikie ndoto yako ya Upadrisho?

    Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la mtakataifu Aloyce, kutumikia altareni huku ndoto zetu ikiwa ni baadae kwenda seminari hadi Upadrisho...
  13. Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  14. F

    Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

    Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
  15. Mwanandoa au wapenzi tupeni uzoefu ulinusuru vipi ndoa au muhusiano yako

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂... Poleni na majukumu. Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
  16. It's never too late maadam pumzi ya Mungu ingali ndani yako

    Hata kama ulishajaribu mara nyingi bila mafanikio usikate tamaa! Thubutu kuota tena! Wanandoa wawili walifanya jitihada kumpata mtoto kwa zaidi ya miaka ya ishirini bila mafanikio. Lakini mwaka wa ishirini na nane wa ndoa yao walifanikiwa kumpata mtoto wao wa kwanza. Kama wangekata tamaa mwaka...
  17. H

    SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

    Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo. 1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
  18. Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  19. Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  20. Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

    Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect kubwa kwenye mtongozo. Kingine semen retention wakuu, ili uwavutie punguzeni puli. Attractive nature ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…