yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
  3. JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

    KARIAKOO DERBY Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa. Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
  4. JamiiForums Tanzania Soma katiba ya nchi yako ujue sheria na haki yako uwe jasiri maana tunaongozwa kwa katiba

    Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu: Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo. Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
  5. JamiiForums Tanzania Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  7. JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  8. JamiiForums Tanzania Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

    All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu. Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
  12. JamiiForums Tanzania Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani

    Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako. Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea nayo kwasababu tayari umeitangaza kwa watu na imepoteza ladha kwenye moyo wako, na mbaya zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

    "Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  15. JamiiForums Tanzania Ishi vizuri na familia yako hasa watoto wako. Punguza au acha kabisa utemi, ubabe na udikteta

    MHADHARA (88)✍️ Ishi vizuri na familia yako hasa watoto wako. Punguza au acha kabisa utemi, ubabe, udikteta, ukatili, na ukali usio na maana kwa watoto wako. Kama umefikia hatua ambayo ukiwa mbali na familia yako watoto wanashangilia huku wanatamani usirudi milele, ndugu yangu badili mtindo...
  16. JamiiForums Tanzania Share wimbo unaoelezea "mood" yako ya sasa. (A Song That Describes Your Current Mood)

    Simply Redd - Holding back the years https://youtu.be/yG07WSu7Q9w?si=3xbq2WPshiiR7Yhb
  17. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa video za vichekesho;tupia video yako

    Wakuu`huu uzi ni maalumu kwa video za kuchekesho,vioja na video fikrishi
  18. JamiiForums Tanzania Professor Kabudi hujafanya home work yako vizuri, singeli kweli?

    Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa singeli haujawaza sawa sawa. Mziki inapaswa kutambuliwa ni muziki wenye mirindimo na midundo yenye...
  19. JamiiForums Tanzania Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  20. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…