yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge ulichaguliwa kimagumashi ukienda bungeni hamia kabisa mle ndani na familia yako

    Misiseme sikuwambia Kuna taarifa nimepata kiukweli watu wameumizwa enyi wabunge magumashi msije kuwalaumu watu Kwa majutoo
  3. JamiiForums Tanzania Iddi Amin Mama, Kubali Yaishe. Maslahi Ya Nchi Ni Makubwa Kuliko Maslahi Yako Binafsi!

    Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa! Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
  4. JamiiForums Tanzania CDF - General Nkunda, Hii ni Yako - Utake usitake!

    CDF Nkunda, , isikilize toka kwa colonel Augustino Polepole- Senior Officer, sio ndefu na ina ujumbe mulua kabisa, mjumbe hauwai, isikilize mwenyewe : https://youtu.be/mRY7ojCKQbw?si=cTLj6bkVC6RqXmIP
  5. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Mwamba JPM Tupo hapa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa

  6. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mange, Mission yako imefanikiwa. Pokea maua yako

    watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana. Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali. niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

    Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂
  8. JamiiForums Tanzania Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania huru 29 Oktoba

    Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ). Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika. 29...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Toa namba ya simu inayokuwa na salio muda wote siyo unampigia au unamjibu mtu kwa namba yako ambayo hujampa

    Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu ukutie nguvu katika mapito yako

    USHUHUDA sehemu ya kwanza 01. mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo...
  13. JamiiForums Tanzania Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME. Kilichosomwa: "Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
  14. JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  15. JamiiForums Tanzania Kuiomba haki yako ni ishara ya udhaifu, tusikubali

    Watu wanatufyagia tena kwa macho makavu halafu sisi tunawabembeleza watutendee haki ,kama siyo ukichaa ni nini? Kama Taifa zima linakosa hata wanaume watano tu wakuweza kuirejesha heshima kwenye misingi yake , tunatofauti gani na jamii ya mashoga ?😎 Hivi inatuingia akilini Taifa zima liwe la...
  16. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mzee Butiku , Kwa Maoni yako unayohisi yana Busara, nini Hatima ya Watanzania kuanzia 2026 ikiwa Samia ataendelea?.

    Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?. Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  19. JamiiForums Tanzania Umewaza ukafikiri ukipoteza mchongo ulionao familia yako itasimama kama ilivyo sasa?

    Wakuu kuna ile hofu inanitawala akilini mwangu kuhusu hali ya kipato stahimilivu (income sustainability). Hivi nikipoteza kazi leo, mchongo, serious accident even death mke wako or mumewako, watoto ama wazazi wako unahisi utawaacha katika mazingira gani? Je, watapata milo mitatu,watoto...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

    Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani 1. Wa kutiki 2. Wa kutoka Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025 Namna ya kupiga kura 1. Tunatiki 2.Tunatoka Au 1. ⚒ 2.✌🏿 NB: Kura za mitandaoni huamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…