yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

    Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako. Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu sote wawili.
  2. JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  3. JamiiForums Tanzania Nipe tofauti Kati ya hawa

    Malaya Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja Changudoa Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga Kahaba Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukiwa unatekeleza majukumu yako ya kiofisi unaonekana ni mwenye kiherehere?

    Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli. Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku. Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
  5. JamiiForums Tanzania Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

    Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako "MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO" Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ufundi wa Mungu juu ya pua yako !

    - Mungu aliona aweke mashino mawili ambayo yote yameunganishwa kwenye pipe moja ya juu hivyo shimo moja likiziba jingine litatumika kama dharula. Mungu akaona kuwa pua inapaswa kuwa na uwezo wa kugundua harufu mbalimbali za kipekee, hivyo akaongeza seli maalum za harufu ambazo sio tu zinatambua...
  7. JamiiForums Tanzania Kula yako ipoje? huwa unakula unachokiona au mpaka ujiandae kiakili

    Kwa mfano kwa Sisi wapenda pombe huwa kula yetu ni ya Kiasi tunamfuata Janabi, sasa Mimi binafsi ukiniamsha asubuhi ukanishtukiza eti kula supu ya kuku hii hapa aisee huwa siwezi. Mimi napenda niamke asubuhi nianze kujiandaa na kutafakari nini Leo samaki au utumbo ndizo au majani ya maboga au...
  8. JamiiForums Tanzania Bahati yako hii Tajiri Beach Kilwa masoko

    Shamba linauzwa KILWA MASOKO Shamba ni Heka 14 Lina hati miliki (Title Deed) Bei milion 150 📱0754693556 nipigie simu nikupeleke.
  9. JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

    Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi, Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini Aliniambia hivi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  11. JamiiForums Tanzania DPP Silvester Mwakitalu, muangalie Masaju anavyojaribu kunyoosha mambo. Linda heshima yako na vizazi vyako

    Nakushauri kwa mara ya mwisho Silvester Mwakitalu. Angalau wewe mabadiliko madogo ya mwisho ya Katiba hii mbovu tuliyonayo yalikupa immunity kama Majaji. Kwenye shauri la Lissu una option mbili. Kusimama upande wa Haki na kubarikiwa wewe na vizazi vyako vinavyokuja AU Kusimama upande wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwa maeneo yako ya kujidai kama bar, huwa unajulikana kwa a.k.a gani?

    Mimi kuna bar hapo Tabata wamenipa jina la king mswati.Hilo jina walinipa kwa sababu ya kila bar maid anaekuja lazima nipite naye, Wadau wakaamua kuniita king mswati. Wewe je mdau, maeneo yako ya kujidai wanakujua kwa a.k.a gani?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana. Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth! Lakini kwa vile...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
  15. JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  16. JamiiForums Tanzania Festish yangu ni wadada walio ma askari/polisi, wewe fetish yako ni ipi?

    Nazimika kinooomaaaa.. MAONI:
  17. JamiiForums Tanzania Kitabu kinauzwa: Gundua Siri za Ndani Yako: Nguvu, Mawazo na Maisha Mapya

    MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mary Mwakibete pokea maua yako

    Huyu mtangazaji yuko vizuri sana hasa kwenye hichi kipindi cha malumbano ya hoja. Anaweza ku moderate vizuri malumbano. Anajitahidi sana ku balance muda kwa walumbanaji wote. Pia maswali yake ya udadisi kwa wachokoza mada ni ya kiwango cha juu. Keep it Mary Mwakibete
  19. JamiiForums Tanzania Jakaya mimi ni timu yako ila kwa Sasa mambo yetu so mazuri

    Niko Nawe kitambo ila kwa Sasa mambo siyo Kaka Nitaandika soon
  20. JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata kitaifa na kimataifa unapotaka kutengeneza app yako ni zipi?

    Wakuu Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya "majangili" ya kuona project za watu na kukopi na kujipatia utajiri kirahisi kwa dhulma. Na kama Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…