yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiniona nipo kwenye ndoa na sijawahi kukupa kadi ya harusi kwa ajili ya mchango; usiniletee kadi yako ya mchango wa harusi

    Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku ukitaka sherehe yako ianzie labda milioni 20, wakati wewe kianzio ulichonacho labda milioni 1; hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Profile picture yako ina maana gani?

    Nimegundua kitu watu huwasilisha ujumbe kwa kupitia profile picture zao,na moja kwa moja aidha ujumbe husika mara nyingi huwa unamhusu mtu husika. Kinaweza kuwa kitu unachokipenda au ambacho kinahusu maisha yako ktk namna fulani, karibuni hapa tuelezee kwa uchache tu kwanini unatumia hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Siku yako ya kwanza ku drive highways ilikuwaje?

    Wadau uzi wa ku share experience yako kwa mara ya kwanza ku drive high ilikuwaje. Kwangu binafsi ilikuwa shida sana katika ku overtake yaani nilikuwa naogopa sana ila nilikuwa nikukuta road iko open nilikuwa speed sanaa 80Km/h nakumbuka nilikuwa na drive Mazda.
  4. JamiiForums Tanzania Sikukukataa mwanangu; Umasikini ulifanya mama yako anikimbie

    SIKUKUKATAA MWANANGU; UMASIKINI ULIFANYA MAMA YAKO ANIKIMBIE. Kwa Mkono wa, ROBERT HERIEL. © maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. Taikon wa Fasihi Anawasilisha "Sasa nimebaki Peke yangu, hata waliowangu hawanitaki, sio wangu tena, ingawaje ni Mali yangu kiasili lakini dunia...
  5. JamiiForums Tanzania Wanatakiwa kuweka tangazo kuwa unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako

    Soda na Soft drinks zote ni hatari kwa afya ya binadamu. Binadamu hakuumbwa kubugia sukari nyingi namna anayobugia leo. Sukari nyingi huleta unene wa kupitiliza, kitu ambacho huleta kisukari, magonjwa ya moyo nk. Ni wakati sasa, kama ilivyo kwenye bia; Kwa matangazo yote ya vinywaji laini na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…