xmas

Xmas (also X-mas) is a common abbreviation of the word Christmas. It is sometimes pronounced , but Xmas, and variants such as Xtemass, originated as handwriting abbreviations for the typical pronunciation . The 'X' comes from the Greek letter Chi, which is the first letter of the Greek word Christós (Greek: Χριστός, translit. Khristós, lit. "anointed, covered in oil"), which became Christ in English.
The suffix -mas is from the Latin-derived Old English word for Mass.There is a common misconception that the word Xmas stems from a secularizing tendency to de-emphasize the religious tradition from Christmas, by "taking the Christ out of Christmas"; nevertheless, the term's usage dates back to the 16th century, and corresponds to Roman Catholic, Eastern Orthodox, Church of England, and Episcopalian liturgical use of various forms of chi-rho monogram. In English, "X" was first used as a scribal abbreviation for "Christ" in 1100; "X'temmas" is attested in 1551, and "Xmas" in 1721.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjusi Sharobalo

    Hekaheka za Xmas na kunusurika kifo

    Salamu wakuu. Ndani ya siku hizi mbili tatu nimekuwa na ukimya usio wa kawaida ndani ya jukwaa hili na si kawaida yangu kupotea kwa muda mrefu kiasi hicho. Ukweli ni kwamba nilikumbwa na tukio la uvamizi usiku wa XMAS tarehe 25 December baada ya kuvamiwa na vibaka, majambalika, wakulungwa wa...
  2. Bullshit

    N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
  3. Jidu La Mabambasi

    Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

    Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso! Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
  4. Mafyangula

    Askofu Paul Bendera: Anayeratibu vurugu Desemba 25 haiheshimu dini ya Kristo

    Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani, Askofu Bendera...
  5. MSAGA SUMU

    Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25 Mbowe asherekea Xmas Dar badala ya K'njaro, kweli Lissu sio mtu wa mchezo mchezo

    Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya. Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro. Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu...
  6. M

    TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  7. Teslarati

    Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
  8. Mohamed Said

    Mjadala na fikra ya kuunda tanu kalieni camp bombay mkesha wa xmas 1945 baada ya kumalizika vita vya pili vya dunia

    https://youtu.be/vbYWViPdGYk Historia hii ya fikra ya kuunda TANU kutoka Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay Mkesha wa Xmas mwaka wa 1945 ipo katika kitabu hicho hapo chini kilichoandikwa na Judith Listowel na kuchapwa mara ya kwanza London 1965.
  9. Black Opal

    Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
Back
Top Bottom