wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Kukodisha akaunti ya linked kisha unalipwa kuna ukweli wowote?

    Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6, lakini pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Kuna watu wanapotosha kuwa ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Rais na akitaka anakuondoa muda wowote

    Wakuu, Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote. Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

    Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut Mfano TRC wanataka kununua engine za...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Walimu Foeni mabegi yenu kwani Mda wowote mtaitwa (ku) zini. 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
  6. JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  8. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu Tanzania havina umuhimu wowote, serikali iwekeze kwenye vyuo vya kati

    Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM. Iwe na sharti kila mahali penye...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

    Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji. Angalizo: Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba...
  10. JamiiForums Tanzania Dr. Khiago Kilonzo kikaangoni, kuenguliwa muda wowote!

    Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen! Kama mtakumbuka vyema, mwishoni mwa mwezi May niliwaletea habari kuhusiana na suala la Dr. Khiago kutumia nafasi yake kama Katibu...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote kati ya Philip Isdor Mpango na Marehemu King Kikii

    Salaam Wakuu, Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana. Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania. Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

    Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa...
  14. JamiiForums Tanzania Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea. Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
  17. JamiiForums Tanzania Lissu kufuata njia ya Dkt. Slaa CHADEMA?

    Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa.. Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika.. Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo...
  18. JamiiForums Tanzania Mimba ya mwanamke imetokea kunipenda mimi lakini naishi kwa wasiwasi. Naombeni ushauri wenu

    Iko hivi, hapa zipo 4 apartments, yangu ipo Mwanzo kabisa. Huyu mke wa mtu alikuwa analeta mazoea na ikaribu usio na ulazima. Full kunichekea kila akiniona. Anaweza kurudi na mumewe anaweza kuniita hata usiku anasema amenimiss na jamaa anasikia kabisa. Fast forward jamaa kampiga mimba...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
  20. JamiiForums Tanzania Umeoa halafu unamzuia binti wa watu asifanye kazi na huna uwezo wowote kifedha. Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?

    Kuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa kuajiriwa na anakuwa mbogo,ukimuangalia mwanamke kachokaaa na Ana taaluma yake Angeweza kupambana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…