wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wowote kumuachia housegal pesa ya matumizi yeye ndiye aipangie budget?

    Habari wakuu? Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home. Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
  2. JamiiForums Tanzania Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Singida wanafaidi tozo kuliko mkoa wowote

    Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
  5. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

    Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
  6. JamiiForums Tanzania Namba E zitaanza muda wowote kuanzia sasa

    Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na hii gari ikiwa na namba ya usajili wa DZZ kuashiria kuwa muda wowote kuanzia sasa Namba D itajaa na kuanza kutumika kwa namba E.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na madai ya ''Instagram'' kujaribu kuwa kama ''Tiktok''?

    Mathalani, kumekuwepo na madai ya kwamba mtandao mkubwa wa kijamii ujulikanano kama ''Instagram'' kunakili na kuiga vipengele mbalimbali vya mtandao mwingine unaukua kwa kasi na kupendwa na watu wengi maarufu kama ''TikTok'' ambaye ni mpinzani mkuu wa mtandao wa Instagram kwa kuzindua baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  9. JamiiForums Tanzania Ngongo anatarajiwa kufika mbele ya kikosi kazi wakati wowote kuanzia kesho

    Heshima sana, Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba. Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati. Natarajia kuangazia mambo manne tu mengine nawaachia waTanzania wengine. Katiba lazima ipunguze...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua Marais duniani wakizungukwa na 'Mabodigadi' hawawezi Kuuliwa, kumbe Watu wakikutaka 'Wanakushinzo Abe' muda Wowote ule

    Marais tuliopo tujitahidi Kuongoza kwa Haki ili nasi Wananchi Wetu wasije 'Kutushinzo Abe' tukiwa tunaigiza Sinema na akina Rambo na Van Dame au tunalima Karafuu au tunakula Samaki za Feri Magogoni au tunakunywa Mvinyo wa Wagogo. Kulindwa na 'Makomandoo' siyo Kigezo kuwa 'Makomandoo' wengine wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Vyeo kama hivi katika Nchi yetu bado vina ulazima wowote ?

    Habari JF ,Ukiachana na Suala la Udiwani na Ubunge wa viti maalumu bado kuna vyeo vingi sana ambavyo kuna haja ya kuvipitia na kuona kama kuna umuhimu kuendelea kuwepo. Mfano Wilaya inawakilishwa na watu wafuatao 1. DC 2. DED 3. DAS 4. MP Lakini pia kuna nafasi za unaibu waziri ,mi nadhani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

    Estonia imelalamika kuwa Urusi inapanga kuishambulia nchi hiyo (Estonia-nchi mwanachama wa NATO) kwa mvua za makombora. Malalamiko yamegusia kuwa Urusi iko inafanya missile simulations juu ya namna ya kuichapa makombora Estonia. Estonia imekuwa na mdomomdomo mrefu ktk kipindi hiki cha...
  14. JamiiForums Tanzania Si sawa kumpongeza Mtu kwa uzuri alionao, hana mchango wowote kwa yeye kuwa hivyo

    Sio tatizo kumpongeza Mtu alivyovaa na kupendeza, lakini ni vipi unampongeza Mtu kwa kuwa ni Mzuri au umbile lake zuri?...sio tatizo kumpongeza Mtu aliyefanya mazoezi na kutengeneza muonekano wa mwili (body building). Hivi kwa akili zetu hizi huyo tunayempongeza ana mchango gani kumfanya yeye...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je hili lina ukweli wowote dada zangu

    Nazani maelezo yana jitosheleza.
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

    Mwanamke huwa anapata hamu kwa kipindi maalum, sio kila siku, yaani yupo kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum. Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata utamu wowote, ingawa atakudanganya tu! Lakini ukimkuta kwenye siku ambazo yai lake lipo tayari...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

    Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT. Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki. Nani atampa kura yake Zitto Kabwe? Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
  18. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Tunahakiki deni la Bilioni 1 wanalodaiwa Uhuru Media kama lina ukweli wowote

  19. C

    JamiiForums Tanzania Jicho la Ujasusi la Tanzania linatakiwa kuwa macho sasa kuliko wakati mwingine wowote ule

    Habari wana JF Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nitajadili mambo makubwa mawili 1. Vita 'kamili' ya III ya dunia. 2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi Hoja No. 1 Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Chukua hatua kwa uvimbe wowote unaotokea mwilini.

    Ukuaji wa tishu mpya mwilini (Neoplasia) ni uvimbe usio wa kawaida ambao ukuaji wake haujaratibiwa na tishu za kawaida na huendelea kuleta mabadiliko. Mara nyingi vimbe hizi hujulikana kama ''tumour''. Utafiti na uchunguzi wa vimbe mpya mwilini (oncology) ndio hubainisha kama vimbe hiyo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…