wote

  1. JamiiForums Tanzania Pole kwa wahanga wote duniani, all it pass

    Weka picha za wahanga wote duniani iwe ni wa Vita, njaa, matetemeko na majanga mengine Kwa ajili ya kuwaombea na kuwatakia mema "hakika kila gumu lina mwisho"
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini manabii wote miuujiza wanakuja kufanyia mimi na siyo vijijini kwao walikozaliwa?

    Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Wakatoliki wote Tanzania, waumini wa Ufufuo na Uzima hawatapiga kura mwaka huu?

    Kwa mjibu wa maelezo ya Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima Tanzania.Itakuwa maajabu kama wafuatao wataenda kupiga kura 1. WAKATOLIKI:Kufuatia kupigwa kwenye makazi yake Padre Dkt. Charles Kitima ambaye pia ni Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) na shambulio hilo kuhusishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Yule asemae asie na haki anahaki, na mwenye haki hana haki, wote hao ni waovu

    Naam, ni kutoka kwenye Biblia, pia yasema " Wema watawalapo watu hufurahi ila waovu watawalapo, watu huugua. Katika kutafakari neno hili nami nikaona si watu linalougua bali wapenda haki ndio wanaougua, yaani kuteseka. Wale waovu , wanaonufaika na uovu na wale wajinga ambao hawafaidiki chochote...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  7. JamiiForums Tanzania Nyie wahuni wa KM Mombasa laana inawatafuta. Tushawajua wote ingawa mlivaa musk

    Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wachezaji wote wa Yanga, timu ya taifa inapwaya

    Lakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
  9. JamiiForums Tanzania Je, 2025 CCM itafanikiwa tena kama ilivyozoea kulaghai watanzania wote 2+2=5?

    JE, 2025 OCTOBER 2+2=5? Kuna wakati huja katika kila ustaarabu unaokaribia kufa ambapo watu wanalazimishwa kupiga magoti mbele ya uongo. Wanaambiwa waukariri, wauidhinishe, wauamini, si kwa sababu ni kweli, bali kwa sababu mamlaka yanataka hivyo. Hapo ndipo Tanzania tulipo sasa. Tunaishi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuache unafiki, Polepole ni mzalendo kuliko wote?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kama Polepole upo humu kwa akaunti fake, naomba usiache kujibu hili swali langu: Hivi Watanzania tutaacha lini unafiki wa kujifanya tunaguswa na yanayoendelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo? Polepole ni mgeni hapa nchini? Alikaa miaka mingapi Cuba? Mimi si...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Tulikuwa gizani, hatukujua Mpina ndio kete ya ushindi

    Makala Maalum: Uchambuzi wa Sifa na Faida za Luhaga Mpina kama Mgombea Urais wa Tanzania Oktoba 29 --- Dar es Salaam, Tanzania — Muda mrefu Watanzania wamekuwa wakitafuta sura mpya kwenye uongozi wa juu wa nchi. Katika harakati hizo, jina la Luhaga Joelson Mpina limeanza kuvuma, likitajwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  14. JamiiForums Tanzania Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  15. JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Askofu Bagonza: Sio pigo kwa Tundu Lissu, Tumepigwa Wote

    Kalamu ya Baba Askofu Mch. Dr. Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni wa wote, kwanini wengine wateseke?

    Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia. Watoto wanaokufa kwa njaa, watu wanaoteseka kwenye vita wasivyovianzisha wao, na waadilifu wanaoangamia pasipo msaada, yote haya...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

    Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU. Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!! Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…