wote

  1. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  2. JamiiForums Tanzania WOTE WEZI TU!

    WOTE WEZI TU! Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa kuna wizi wa kutisha, ili wazidi kujiimarisha na kubebana, lakini wizi hufanyika kwa siri kubwa na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Emaus Mwamakula unakosea kutoka na andiko lako la hivyo Facebook,kwamba hao mashekhe ndiyo wamebeba agenda ya waislamu wote? Andiko la hovyo

    JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA? Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize? Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

    Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi. Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k Majuzi...
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mimi nafikri muda mwingine shetani akikaa na ku-review mambo kama haya huwa anasikitika sana namna anavyosingiziwa muda wote

  6. JamiiForums Tanzania Kigwangala My Brother Njoo tuwaze wote Nje ya Box; maana kwa sasa na wewe slogan yako kubwa ni No Reforms No Election,Usiende kule ili mtu apate ajali

    Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;- Baba Levo- Kigoma Mjini JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki Kuna...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna siasa wala wanasiasa Tanzania wote ni mazuzu!!

    Kila mtu anapuyanga na upepo wake kama unavyoamka na bendera kufuata upepo,leo wako kwa polepole kesho kwa lisu mwisho wake maiti tu za kisiasa.
  8. JamiiForums Tanzania Tapeli mkuu wa kisiasa aliyeahidi kuwahamisha wakazi wote wa Kawe na kuwapeleka Birmingham

    Hivi tunakumbuka uongo huu mkubwa kuwahi kutamkwa na maana siasa? Mpaka leo hajamkatia hata passport house girl wake! Hajatubu!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania KWANIABA YA WANA YANGA NA WANASIMBA WOTE TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI LEO UCHEZESHE VIZURI...

    MPENSWA KTK BWANA REFR DAHANE KWA NIABA YA WAPENDA MPIRA WOTE NCHII HUU TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI UNAPOENDA KUCHWZESHA MPIRA WA LEOO TAIFA LINAKUTEGEMEAA HUNA UBAYA NDUGUU WANAYANGA NA SIMBA WOTE TUKO NYUMA YAKOO  AMEN
  11. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Dhidi Ya Lisu Ni Mwendelezo wa Uharamia wa Wakati Wote, Sawa Walivyotendewa Waliouawawa na Waliotekwa, Lakini Hakuna Kesi.

    CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naamini Viongozi wote huwa wanaenda kusali au kuswali,je haya matendo yenu mnayoyafanya huwa mnaonekana vipi na waumini?

    Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Nawatakia majaji na mahakimu wote nchini Tanzania amani

    Binafsi ninawatakia amani kwenu Majaji wote na mahakimu wote wa mahakama zetu na mabaraza yote ya haki nchini. Amani, baraka na afya tele viweke makazi kwenu mmoja mmoja iwapo mnakidhi bila kupunguza hata moja katika haya yafuatayo:- Meza yako inatoa hukumu ya haki Hauruhusu mahakama yako...
  18. JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  20. JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…