wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  2. I

    Kwenye kikao, RC akamata kila aliyetajwa kwa wizi na CAG

    Tunahitaji watu wenye kumsaidia Rais wetu wafanye haya, Huyu RC mwendo anaokwenda nao ingependeza sana kuona haya yakifanyika nchi nzima, Msikilize mpaka mwisho,
  3. Akamatwa kwa wizi wa magari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, Venance Ramadhani (36) kwa tuhuma za wizi wa gari aina ya Nissan Xtrail. Kukamatwa kwa gari hilo kulitokana na askari wa usalama barabarani walipokuwa wakifuatilia madeni ya faini za tozo la makosa ya...
  4. Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  5. Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  6. Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  7. Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
  8. Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
  9. Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
  10. CAG: Kuna wizi wa Kalamu Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Moja kwa moja kwenye mada.. CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi.. Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇 === Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
  11. B

    TAMISEMI: Wizi huu Ushirombo una Baraka Zenu?

    Tembea uone mambo usingoje kuambiwa. Hii nchi wengi wakipenda kusema ni ngumu, kwa kweli ni ngumu sana. Ama kwa hakika huenda hata sheria zinazotumika kunakoitwa mjini ni tofauti mno na za huko shamba. Nimeyaona ushirombo ambako labda Waziri Bashungwa hata hajui wizara yake kuwa imeshikwa...
  12. Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa. . Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero. ...
  13. Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

    Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
  14. Ukraine yaishutumu Urusi kwa wizi wa nafaka

    Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuiba Nafaka Nchini humo ikisema kitendo hicho kinaongeza tishio la hali ya Chakula Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje imedai Urusi inaiba mazao kutoka kwa Wakulima katika eneo la Kherson Sehemu ya Taarifa ya Wizara inasema, "Kupitia vitendo vyake haramu, Urusi...
  15. Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  16. Tutashuhudia wizi na ufisadi wa kutisha awamu hii kwasababu waliopo madarakani HAWANA uhakika wa kupata madaraka tena!!

    Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa. Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata...
  17. Kuongezeka kwa matukio ya wizi mtaani tofauti na awamu iliyopita. Je, chanzo ni nini?

    Kwa maeneo niliyopo, kusemaukweli awamu iliyopita kulikuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa. Vijana wengi walihofia kuwekwa ndani na hivyo kujiepusha na matukio ya uhalifu. Wengi wao walijishughulisha kwa bidii kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogondogo (machinga) ufundi na kazi...
  18. F

    Mchungaji Godfrey Mtui a.k.a WAG garege amefikishwa mahakamani kwa wizi

    Soma vizuri kabla hujachangia Mchungaaji Godfrey Mtui anamiliki Kanisa la Tanzania Pentecoste mission Church lililopo nje kidogo ya mji wa Moshi na anamiliki Garage iitwayo WAG Garage ambayo ipo nyumbani kwake. Mtui amefikishwa katika makahama ya mwanzo mjini Moshi na kusomewa shitaka moja la...
  19. Rwanda: Mchina aliyerekodiwa akimpiga mfanyakazi aliyefungwa kwenye mti ahukumiwa kifungo cha miaka 20

    Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021 Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
  20. C

    Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

    1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki. 2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…