wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Wizara ya Uvuvi imeachana na mpango wa kukopesha vizimba kutokana na ukosefu wa fedha

    Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita. Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
  2. S

    KERO YA BARABARA: SMZ NA WIZARA HUSIKA, NI SABABU IPI INAYOFANYA BARABARA YA BWAWANI MALINDI ZANZIBAR ISITIWE LAMI!!!

    Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi. Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
  3. Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. W

    POTOSHI Angelina Mabula na Juma Aweso ndiyo mawaziri pekee waliokaa wizara moja kwa zaidi ya miaka nane

    Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
  5. Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  6. Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  7. Wananchi waridhishwa na huduma za wizara ya ardhi sabasaba

    Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo. Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
  8. Dkt. Kazungu: Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, Wizara inaitekeleza kwa vitendo

    Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
  9. H

    Wizara ya IranYasema Mashambulizi Ya Israel Nchini Iran Yaliua Watu 627.

    Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627. Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo...
  10. Msaada wa taarifa. Nataka kuhamia moja ya taasisi za wizara ya uchukuzi

    Wakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati. Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha, maendeleo kielimu kwa staff (trainings) na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake...
  11. PreGE2025 Wizara ya maji yazindua na kukabidhi kisima cha maji Buigiri

    WIZARA ya Maji imezindua na kukabidhi kisima cha Maji chenye uwezo wa kuzalisha lita 12000 kwa siku ambacho kitahudumia watu 120 wanaoishi katika eneo la Shule ya Msingi ya Buigiri wasioona wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, mara baada ya...
  12. Ni nani mwenye barua kufungia kanisa la gwajima na bado wizara mnakana kuwa sio barua yenu

    Naanza kuwa na mashaka na mwenendo wa serikali ya ccm iliyopo madarakani. Inawezekana vipi barua ya kufungia kanisa wizara waka kanusha huku polisi wakizuia kanisa. Ina maana hii barua ni mtu au kikundi kwa sasa kama kutafakari kinaweza kuwa sio imani yake ndio maana kafanya haya...
  13. W

    Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia

    Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
  14. Kama sehemu ya kurudisha faida za kiuchumi daraja la Kigongo Busisi, Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri wapange na kupima maeneo jirani

    Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter. Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
  15. R

    Nauliza: Kwanini Jerry Silaa aliondolewa Wizara ya Ardhi? Alionekana kufanya kazi kwa weledi kupunguza migogoro ya ardhi. Let us speculate reasonably!

    Nilimuona kama alikuwa anaitendea haki wizara ya ardhi, alifanya kazi kwa weledi mkubwa kupambana na makanjanja wa ardhi akina Msama, Mushi na wengine. All of a sudden akaondolewa! What was wrong with him? Can any of us speculate logically? https://www.instagram.com/mangi_viwanja/reel/C73xMi-M6AJ/
  16. M

    Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  17. Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
  18. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  19. K

    WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26

    DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. - Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara hiyo kwa...
  20. Prof. Sospeter Muhongo, Leo bungeni Dodoma (Bajeti ya Wizara ya Afya)

    Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo: Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68 Taifa lisomeshe vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…