wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  2. Waziri Aweso na Wizara ya Maji wizi umekithiri

    Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi. Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na watendaji walioko ktk ofisi za mabonde. Kuna pesa nyingi zinapelekwa ktk ofisi za mabonde na kurudishwa...
  3. M

    Wizara ya Ardhi na Makazi; Mkopo wa nyumba uliishia wapi?

    Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa...
  4. Wizara ya Utalii ni kaa la moto, kunani? Uchambuzi huu hapa…

    Mabadiliko madogo ya mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana Machi 31, 2022 yamemuweka Waziri Pindi Chana kwenye wizara yenye “moto”. Wizara hiyo yenye historia ya “kuwakaanga” mawaziri kwa kashfa na wengine kushindwa hata kumaliza mwaka mmoja si nyingine ni ya Maliasili na...
  5. D

    Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

    Ingien ajira.go.tz Land valuation, surveyors, cartographers, geographist,GIS, town planners and alike. Data recorder kwa Level ya degree.
  6. Ufafanuzi mbovu wa Profesa Manyele, NEMC mko wapi? Waziri Jaffo huitendei haki wizara, JIUZULU

    Natoa wito Waziri Jaffo ajiuzulu. Mstaafu Mwinyi aliwahi kusema kichaa akichukua nguo zako, busara ni kuchutama (loosely) Waziri Jaffo na watalaamu wake wa mto Mara wanagoma kuchutama, na kadri wanavyogeuza ripoti wizara inazidi kupoteza pesa kwa waandishi habari na kuanza kueleza mambo ambayo...
  7. Wizara ya Nishati igawanywe mara mbili ili kuongeza ufanisi

    Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi. Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania. Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...
  8. Wizara ya Maji yaangalieni haya kabla ya kukimbilia mfumo wa kulipia bili ya maji kabla ya matumizi (prepaid bill system)

    Habari wanajamii!.. Naona mfumo huu wa kulipia huduma kabla ya matumizi umeanza kuwa mfumo pendwa licha ya kuwa mfumo unaomuumiza zaidi mtumiaji au mlaji hususani huduma inapokosa ubora. Ni kweli wananchi tunapaswa kulipia huduma tunazopatiwa na Serikali ili kusaidia suala zima la uendeshaji na...
  9. Wizara ya Kilimo yashirikiana na JKT kumaliza tatizo la mbegu kwa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022: “Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mbegu bora. “Lengo letu ni kumaliza tatizo la...
  10. W

    Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
  11. Afisa Kilimo Daraja la II Wizara ya Kilimo - Nafasi 3

    POST AFISA KILIMO DARAJA LA II - 3 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Wizara ya Kilimo APPLICATION TIMELINE: 2022-03-15 2022-03-28 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea Kukusanya takwimu za bei na mazao kila Wiki na...
  12. Msimu huu wa joto kali ni vizuri wizara ya afya ikahimiza wananchi kunywa maji mengi/matunda

    Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali. Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki. Kipindi kama hiki...
  13. Mtandao wa Zoom Tanzania wizara ya habari na mawasiliano muumulike

    Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja niule ktk hii platform, credibility ya huu mtandao na ni vyema serikali ukau mulika ili.wamiliki waonywe
  14. Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  15. Waziri Biteko: Mchango wa sekta ya Madini umekua hadi kufikia asilimia 7.3 ya Pato la Taifa, katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia

    HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
  16. Nnauye: Viongozi wakielewa Uchumi wa Kidijitali, wataendesha vema taasisi za Serikali ili kuendana na ukuaji wa uchumi

    SERIKALI YAENDESHA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KUHUSU UCHUMI WA KIDIJITALI Na Prisca Ulomi na Semu Mwakyanjala, WHMTH, Zanzibar Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendesha mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi wa Serikali kuhusu uchumi wa kidijitali Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali...
  17. Kuna Wizara Inatia Shaka Kiutendaji

    Huyu anayesema miradi mbalimbali ipo kwenye blanketi!?
  18. Wizara yafafanua taarifa ya kuonekana kwa FARU MWEUSI katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa iliyotolewa na mtandao wa Tanzania Times, tarehe 3 Machi, 2022 ikieleza kuonekana kwa faru mweusi katika Hifadhi ya Taifa Nyerere. Wizara imeeleza kuwa taarifa hiyo ambayo inaendelea kusambaa katika vyombo mbalimbali...
  19. Wizara ya Afya msimwangushe Rais Samia

    Baada ya Rais Mhe. Samia Suluhu na Waziri wa Fedha Mwigulu kutoa pesa za IMF kwa manunuzi ya vifaa mbalimbali hospitali za mikoa kwa nia ya kuboresha Afya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya alikasimu mamlaka ya kununua vifaa hivyo kwa baadhi ya taasisi zilizopo chini yake. Lilikuwa wazo jema kabisa...
  20. Rais Samia huna nia njema na Wizara ya Nishati, haifiki kokote kwa teuzi za urafiki

    Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu. Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika? Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…