Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa?
Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie..
Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama katika uchaguzi mkuu, hivyo kama katibu mwenezi mstaafu, ninaomba...