wizara ya nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Dkt. Mwigulu aiagiza wizara ya nishati kuongeza kasi usambazaji gesi asilia

    DKT. MWIGULU AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USAMBAZAJI GESI ASILIA ▪️Asema gesi asilia ni kichocheo cha maendeleo ya viwanda, usafiri na uzalishaji wa umeme WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza kasi ya kupanua mtandao wa usambazaji wa gesi asilia ili...
  2. Yoda

    Siasa za mtandao huko Marekani nako sasa zimeshika kasi, wafanyabiashara wa mafuta wameitia mfukoni wizara ya nishati.

    Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁. Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha paneli za solar dunia yote utapata nishati kwa 20% ya mahitaji ya dunia wakati wanasayansi wote wanasema...
  3. Roving Journalist

    Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  4. JanguKamaJangu

    DED Mkalama: Wizara ya Nishati endeleeni kusimamia ufanisi wa miradi ya nishati

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, Asia Juma Messos ametoa wito kwa Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia vyema Taasisi zake ili ziendelee kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati kwa ufanisi na hivyo kuleta maendeleo kwa Wananchi. Messos amesema hayo Agosti 6, 2025 wakati...
  5. Just Pray

    Zitto Kabwe: Miaka 15 niliyokuwa mbunge Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati, Mwaka huu imepitishwa bila mikwaruzano

    Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Atupele Mwakibete akichangia hoja katika Bajeti ya Wizara ya Nishati

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo tarehe 29 Aprili, 2025 Amechangia Bungeni wakati Bunge likijadili Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa Bungeni Dodoma. Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiomba Wizara ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hoja Katika Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/2026

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
  9. Pfizer

    PreGE2025 Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge yapongeza ujenzi wa jengo la wizara ya nishati - Mtumba

    📌Ujenzi wafikia 94% Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025...
  10. Mindyou

    Katibu Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba: Umeme unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani. Mramba amesema ni faida kwa kuwa baadhi ya vyanzo vya umeme hapa nchini vinazalisha uniti moja kwa bei kubwa kuliko bei ambayo...
  11. Mindyou

    Dotto Biteko unapolalamika kuhusu TANESCO kila siku unataka sisi tufanye nini wakati madaraka unayo wewe?

    Wakuu, Wakati napiga patrol zangu huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Biteko akiwa kwa mara nyingine anawasema TANESCO. Kwenye hii clip Biteko, analalamika kuhusu ubovu wa huduma kwa wateja za TANESCO kama ambavyo mara zote anafanya. This time anasema: "Mnaona watu wanalalamikia kuhusu...
  12. Ojuolegbha

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati
  13. Kahtan Ahmed

    Makonda akabidhiwe Wizara ya NISHATI

    Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua kitendawili. Kwa maoni yangu uwezo wa Makonda unahitajika katika wizara ya NISHATI sababu naamini uwezo wake...
  14. figganigga

    Serikali: Gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki

    📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na...
  15. Kadodo1

    Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  16. Kadodo1

    Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

    WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR 📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi...
  17. The Sheriff

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba: Kupikia kwa umeme ni gharama nafuu kuliko vyanzo vingine vya nishati

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesema hayo akizungumza leo Jumatano Agosti 7, 2024 alipotembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) lililopo katika maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma. “Wakati mwingine tunatumia umeme kuwasha taa, kuwasha TV, kuwasha...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia aitaka Wizara ya Nishati kuhakikisha Katavi inapata umeme wa Gridi ifikapo Septemba 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika...
  20. N

    Kilio chetu kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Wizara ya Nishati

    Sisi ni Wataalamu 183 tulifanya kazi ya Uthamini katika uhamishaji wa wananchi kwenye Mradi wa GN 754 Mbarali Mbeya ambao ulikuwa unahusisha Wananchi kuhamishwa Ili kupisha hifadhi ya Ruaha na Bonde evu la Ihefu. Waheshimiwa Mawaziri wa Wizara ya ardhi Jerry Silaa na Mhe. Waziri na Naibu Waziri...
Back
Top Bottom