wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Utingo adaiwa kumuua dereva wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa huyu Mwanamke naamini Shetani anaona wivu kishenzi

    Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda. Kanikubalia mwezi wa 7 huyu ila bado hajanipa papuchi. Anasema ananipima kama kweli nampenda au nataka kumchezea tu. Nimeona...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Bendera ya CHADEMA juu Mlima Kilimanjaro. Act wazalendo muone wivu

    CHADEMA ipo juu. Zitto na wapambe wako mtabakia midomo juu.
  4. JamiiForums Tanzania Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  5. JamiiForums Tanzania Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

    Ieleweke kwamba wachungaji hawa maarufu na manabii maarufu, Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako, Hananja, Malisa, Gwajima, Kimaro na hata yule nabii wa Arusha na wengine wengi hunena yaliyo ya Mungu ila nyuma ya pazia wanaye mfalme wao wanayemtumikia kwa uaminifu mkubwa , huku wakijifunika kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

    Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
  8. JamiiForums Tanzania Adaui wa mwafrika na mtanzania ni wivu na roho mbaya.

    Hey
  9. JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

    MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE... Alikuwa kawaida tu. Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo. Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na mkewe katika hali ya mahaba. Alikuwa baba wa familia ya watoto wawili; kijana Isago Tshube (7) na...
  10. JamiiForums Tanzania Botswana: Baba aua watoto wake wawili kabla ya kujiua Kwa sababu ya Wivu wa Kimapenzi

    Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7. Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini aitwe shujaa katikati ya wenye wivu na wazembe wala rushwa na kulewa asali?

    Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tukipunguza wivu na kupendana taifa letu litaenda mbele zaidi

    Leo naomba niseme tu ya moyoni bila kuweka siasa. Jamii zetu sisi kama Watanzania kwa kuishi kwangu nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Lakini nimekaa na jamii tofauti, nimetembea nchi tofauti na kuona jamii zao lakini vilevile nimeishi na watu wa jamii karibia za aina zote hapa Duniani...
  14. JamiiForums Tanzania Anataka nijue kipato chake kwa lazima au ni wivu wangu tu?

    Habari wakuu,natumaini mnaendelea vyema na mapumziko ya weekend! Kuna jamaa ni rafiki yangu ana lodge hapa mjini ya vyumba saba(7). Kwenye hiyo lodge amemweka mdogoake kama msimamizi au manager kwakuwa yeye ni muajiliwa wa serikali hivyo muda mwingi anakuwa kwenye majukum ya kazi yake jambo...
  15. JamiiForums Tanzania Nimebaini kuajiri watu wenye wivu, husda na roho za kichawi TRA ni kuhatarisha ustawi wa nchi kiuchumi

    Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi. Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
  16. JamiiForums Tanzania Wivu kidogo katika mapenzi ni mzuri!

    Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi". Na madam huyu alisema angependa kumuona mumewe anampenda Kwa kumjali na sio kuonyesha kutokujali. Naweza kusema kuwa Ni kweli...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Chuki na wivu ni sumu kali kwenye mwili wa binadamu kuliko sumu ya nyoka

    Binadamu tunashauriwa kuepuka chuki na wivu, kwani imefahamika kuwa, tabia ya kujenga chuki na wivu juu ya binadamu mwenzako ni sumu kali kwenye mwili wako ambayo inaharibu viungo kama, moyo, figo, mapafu na hivyo husababisha kisukari, presha/ugonjwa wa moyo na hatimaye kifo. Inashauriwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  19. JamiiForums Tanzania WIVU WA MADARAKA NDIO UNAFANYA CCM ICHUKIWE,

    humu kwenye hili jukwaa ukiweka uzi unaoelezea mazuri ya ccm,hata nusu saa haukai unaondolewa.! watu wamesahau kwamba ccm ni chama cha siasa kama vingine ila ndicho kimeshika dola.wivu wa madaraka unawafanya wapenzi wa ccm waonekane hawana haki ya kutoa maoni yao ! nyuzi zote zipewe haki sawa...
  20. JamiiForums Tanzania Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…