Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa.
Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
Kuna hii taarifa inasambaa inayosema kuwa serikali ya Tanzania inatumia zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kutafuta ushawishi ndani ya Marekani, ikiwemo kuwashawishi Serikali ya Marekani na wadau wengine wa huko watamani kununua madini yetu.
Napenda kuwakumbusha kuwa kabla na baada ya MO29, viongozi...
Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu?
Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa kijinga jinga. Wizi na ufisadi , udini uliojaa , uzanzibari na ubara , utekaji na wizi wa kura. Ni...
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya,
Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka
Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake
Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere
Maisha magumu toka...
Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.
Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu.
Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu.
Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na...
Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe.
Halafu...
Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine)
Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu
Nikaanza ku move around ili...
Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia.
Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka haimalizii tatizo pekee, bali huibua hali mpya ya maumivu, visasi na mara nyingine mashambulizi ya...
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
Tanzania tuna wapinzani wasio na hoja ambazo zinamgusa mwananchi moja kwa moja.
Wapinzani wetu wanaroho za chuki, wivu, uongo, upotoshaji, uzandaki wanafanya siasa Kama wanasengenyana wapinzani wanasiasa za masengenyo.
Wapinzani wetu hawana elimu ya siasa ndo maana utaona mtu anapost Uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.