wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wimbo huu ulisababisha gumzo 'Tata' kuhusu Imani za Dini ya Kikristu na Kiislamu

    Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua. Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita Zaire. Hata yeye alibadili jina lake la ubatizo la Joseph Desire na kujiita Mobutu Seseseko Kuku...
  2. JamiiForums Tanzania Wimbo: Cavalier solitaire mwimbaji: JB Mpiana ft Papa Wemba tafsiri: Sule Mkandarasi

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : Cavalier Solitaire ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : J.B MPIANA ft PAPA WEMBA ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„: ๐™Ž๐™๐™‡๐™€ ๐™ˆ๐™†๐˜ผ๐™‰๐˜ฟ๐˜ผ๐™๐˜ผ๐™Ž ๐™’๐™–๐™จ๐™ฌ๐™–๐™๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™จ๐™š๐™ข๐™– "๐™๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ฃ๐™ž ๐™จ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™– ๐™™๐™ค๐™œ๐™ค ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ค๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™ฃ๐™–" ๐™ƒ๐™ž๐™ž ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ข๐™–๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™—๐™– ๐™ž๐™ ๐™ž๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™™๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™—๐™–๐™จ๐™ž ๐™๐™–๐™ฌ๐™–๐™ฉ๐™ค๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™ค๐™ ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ช ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ž๐™จ๐™๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž...
  3. JamiiForums Tanzania Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  4. JamiiForums Tanzania Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

    Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
  5. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Wimbo wa TATHMINI wa Profesa Jay na Jay Moe?

    [Verse 1 โ€“ Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi Rap si...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakiwa kwenye ubora wao walihamasisha hadi Joh Makini na wenzake kutunga wimbo wa kiharakati uitwao Bye Bye

    Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu CHADEMA. Jamaa walikiwasha sana. Mwaka 2005 - 2015 zilikuwa ni zama za dhahabu kwa CHADEMA. Ilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Fikiria kwa undani wimbo wa old skul ya simba Uswazi Take away remix, bro that man was (and still is the free thinker)

    Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa. Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa alikuwa ni free thinker, chini nimekuwekea lyrics ya uswazi take away remix, hebu jaribu kusoma taratibu...
  8. JamiiForums Tanzania CRDB Customer Service: Unapiga Simu Unawekewa wimbo wa Swaiba Langu ni Lako

    Haya mambo unaweza ukalia. Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa. Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa. Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
  9. JamiiForums Tanzania Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo wa zamani wa mdada uliokuwa na maneno kama haya

    Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
  11. JamiiForums Tanzania Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
  12. JamiiForums Tanzania Diamond umemsifia Rais Samia kwa Mafanikio yaliyotoka kwa Magufuli

    Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
  13. JamiiForums Tanzania Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

    Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam. Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa. Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wimbo wa Samia Queens

    Habari wana JF. Mimi ni mwanamke ila huu wimbo wa Samia Queens maneno yaliyotumiwa naona hayako sawa. "Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama" "Hatuna haja ya kujigamba sana sifa zetu zunajulikana aaah aaah" Je, kama wanaume wangeandika wimbo na kutumia maneno haya, tungewafikiriaje?
  15. JamiiForums Tanzania Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa Uzi tayari.
  18. JamiiForums Tanzania Je, wajua wimbo wa taifa wa nchi ya Hispania hauna maneno?

    Wimbo wa taifa la hispania (The Marcha Real) ni moja ya nyimbo za taifa zisizo na maneno rasmi, hata hivyo kuna maneno (mashairi) yaliwahi kuandikwa huko nyuma. Aina mojawapo ni utunzi wa maneno yaliyotungwa kipindi cha utawala wa Alfonso XIII's na mwingine katika utawala wa Francisco Franco...
  19. JamiiForums Tanzania Nguvu ya wanawake kupush wimbo wao wa 'Wanawake Moto' ni ndogo sana

    โ€Šโ€Š Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki. Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu...
  20. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mika: Mwimbaji wa wimbo wa Relax

    Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square. Katika mashambulizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ