wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  2. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI imulike wilaya ya Songwe

    Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake. Imeweka miongozo yake na sheria zake...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Afisa Utumishi Wilaya Songwe ni jipu

    Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa? 1. Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima. 2. Kuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake. 3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu. 4. Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Mkeka wa DAS wa wilaya na wakurugenzi bado??

    Kama umepita basi ni kwa sababu ya mambo ya usiku usiku
  5. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Wakuu wote wa Idara ni Makaimu

    Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana. Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
  6. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM wilaya ya hai aunda kamati ya siasa ya muda ya CCM wilaya kimakosa na kusababisha taharuki ndani ya CCM jimbo la Hai

    Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama. Swali la...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Wilaya ya Kiteto na fursa ya mashamba kwa zao la alizeti

    Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012. Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango azindua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo

    Alisema miaka ya nyuma baadhi ya maeneo nchini yalikuwa na 'mchwa' katika miradi ya umma, lakini serikali imejizatiti kudhibiti matukio hayo. Dk. Mpango alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Rombo na kuagiza ianze kazi Oktoba mosi, mwaka huu. "Ninaamini dawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hiki kilichowekwa ktk barabara za miji midogo ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi afanya ziara kwenye hospitali ya wilaya ya Kibondo, atembelea akinamama na kujionea utoaji huduma

    DKT SAMIZI AFANYA ZIARA KWENYE HOSPITALI YA WILAYA YA KIBONDO, ATEMBELEA AKINAMAMA NA KUJIONEA UTOAJI HUDUMA. Ni Jimboni kwake Muhambwe Mkoani Kigoma. Muhambwe Kazi Inaendelea kwa kasi na viwango.
  14. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rungwe, Ijumaa wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa 5 kama mtaala unavyotaka

    Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe. Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari) Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
  15. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya wilaya Uyui-Tabora, Makinikeni hii sio sawa

    Idara ya utumishi na Tsc Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo na hawafanyi kazi KWA takribani mwaka mzima. Watumishi hao wanalipwa mishahara bila kufanya kazi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa wilaya ya Hejing, mkoani Xinjiang, China wafanya sherehe ya Nadam

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusiana na wilaya ya Butiama mkoani Mara

    Thread was deleted
  18. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius S. Mtatiro aapishwa kuwa Wakili

    MTATIRO AAPISHWA KUWA WAKILI Katika sherehe za 66 za kupokea Mawakili wapya leo, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Julius S. Mtatiro Esq. ni miongoni mwa mawakili wapya 335 walioapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuwa Mawakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mahakama zilizopo...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale kortini kwa mauaji

    Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi wamefikishwa mahakamani mkoani Lindi kwa tuhuma za mauaji ya mfungwa. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani hivi karibuni baada ya Gazeti la JAMHURI kuripoti wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…