who

  1. Looking for early 20's friend who is a blogger

    Hello I am a blogger as you are, we online people most of our time we are on our laptops working, so having a side friend to share ideas and having fun with while working it makes things easier. Any interested one? NB: Not must a blogger, even an 24/7 online hustler
  2. Kamala, Trump wavutana katika Mdahalo wao, kila upande wadai umefanya vizuri

    Harris campaign wants a second debate Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump. “Under the bright lights, the American people got to see the choice they will face this fall at the ballot box: between moving forward with Kamala Harris, or going backwards...
  3. The debate has ended. Who won? 🤔

    Haya sasa piga kura hapo kati ya kamala na trump nani kashinda Mimi hapa naenda na Trump 100% he just COOKED kamala
  4. Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

    Habari za asubuhi wanajamvi Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa...
  5. Maisha yako ni jukumu lako

    Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za kawaida kuhusu maisha yao wakati wanarudi majumbani. Usifikirie Ndugu na familia yako wote watakaa tu...
  6. Jimbo la Kigamboni lipo wazi, hongera Ndugulile

    Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa. Pia soma: Dkt...
  7. L

    Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika...
  8. Viongozi wa Tanzania Washiriki 'Walk the Talk' Jijini Brazzaville

    Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’ Brazzaville, Congo 25 Agosti 2024 Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
  9. Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee!

    Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee! I’m so thrilled and pleased to confidently finger-point Dr. Faustine Engelbert Ndugulile a Tanzanian former deputy health minister, and previous minister for Communication and ICT contending for...
  10. W

    WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  11. WHO yaitisha kikao cha dharura kujadili kasi ya kuenea kwa Homa ya Nyani Afrika na kwingineko

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023. Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
  12. Proxy wars will determine who wins WW3 and gets to shape the new world order

    I believe proxy wars will determine who wins WW3 and gets to shape the new world order. There are numerous ongoing proxy wars at the moment. However, the ones I believe will prove decisive will be in Taiwan, Ukraine, and the Middle East. The others are peripheral in comparison. I think it’s...
  13. WHO: Kuna ongezeko la Maambukizi mapya ya COVID-19 dunia nzima, nchi zijiandae

    GENEVA: Shirika la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari ya kuwepo kwa ongezeko la Maambukizi ya Virusi vya #COVID19 duniani huku utoaji Chanjo ukipungua. Taarifa ya WHO imesema "Takwimu za mfumo wetu wa ufuatiliaji katika nchi 84 zinaripoti kwamba asilimia ya vipimo vya SARS-CoV-2 vimekuwa...
  14. WHO yazindua chanjo mpya dhidi ya Malaria, Ivory Coast

    Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster. Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
  15. WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  16. Dr. Faustine Ndugulile Ideal Candidate to a Position of WHO AFRO Director

    Dr. Faustine Ndugulile Ideal Candidate to a position of WHO AFRO Director I'm so thrilled presenting Dr. Faustine Ndugulile a Tanzanian former deputy health minister who was recently approved to contend for a position of Africa Regional Director of the World Health Organization (WHO)! Dr...
  17. Lesson 2: How to Choose Clients Who Value You (Chagua Wateja Wanaokuthamini)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena. Nimekaa nje siku nyingi sijapost, lakini nimerudi tena mchezoni. Changamoto za hapa na pale, lakini nothing that I couldn't handle, by God's grace (hakuna kisichoshindikana kwa Mungu). Nimekuwa na threads kadhaa kuhusu Upwork hapo nyuma. Kwa imani kuwa platform ina...
  18. Programme Management Specialist (Roster), P4, Multiple duty stations at WHO June, 2024

    Organization AF/DPM Director, Programme Management Schedule Full-time IMPORTANT NOTICE: Please note that the deadline for receipt of applications indicated above reflects your personal device’s system settings. PURPOSE OF THE POST To ensure overall efficiency and effectiveness of programme...
  19. Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

    Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
  20. Who is your best ACTOR?

    Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubali zaidi 1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders . 2. Wentworth Miller aka MICHAEL SCORFIED kwenye prison break Wa juuu anajulikana kwa unababe katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…