wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gwajima: Mfalme mwache avimbe, wewe songambele

    "....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima. "....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima. "....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
  2. JamiiForums Tanzania Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

    Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm. Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

    Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha wengine wanatakiwa tu kuwa wainjilisti na sio wachungaji,,au tulidhani kuwa mchungaji wa mifugo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujalielewa hili Fumbo Takatifu la Godbless Lema jipige Kofi na jiambie tu Wewe ni Zuzu Mkomavu duniani

    Ninawaza.Umewekwa mahabusu na kosa lako lina dhamana.Lakini hupewi dhamana.Mkeo anajaribu kukutafutia dhamana,inakuwa ngumu.Anaamua kufanya mapenzi na OCD unaachiwa.Mkiwa mmelala anakuambia,unajua kwa jinsi ninavyo kupenda niliamua kulala na OCD hili uachiwe? What is Love? Kaandika Ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

    Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua watu wanaohoji pesa za miradi Kufuatia mkopo wa benki ya dunia(WB) kwenye mambo mbalimbali ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Rick Ross amwambia Hamisa Mobetto wewe ni wangu baada ya kusifiwa sauti yake

    Hamisa Mobetto amekuwa mama wa ajabu, dada na mtu maarufu kwa watu wengi wanaounga mkono maisha yake ya watu mashuhuri. Ingawa amekuwa akikejeliwa na wengi kuhusu jinsi Diamond Platinumz anavyomchukulia mtoto wake, Hamisa ameonekana kuwa mwanamke shupavu ambaye atafanya lolote ili familia yake...
  9. JamiiForums Tanzania Je, wewe ushawahi kuwaza jambo hili?

    Habari watu wa taifa tukufu linalotetewa na timu ya Simba pekee kimataifa kila mwaka! Basi katika medali ya muziki hapa nchini na duniani kwaujumla ulishawahi kutokea kuupenda wimbo flani ulioimbwa nawasanii wawili au zaidi lakini hapohapo ukatamani wimbo huo ingependaza zaidi kama angeimba...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

    Watu wakiambiwa wapige kura kuchagua kati ya kuchakatana na kunywa bia. Mm nitakuwa mmoja wa watu watakao chagua kuchakatana na tutapata ushindi mkubwa sana. Aliyesema bia tamu akafanye utafiti upya. Ndiyo maana hata bia ikikolea inamsukuma mtumiaji aende kuchakatana, hii inamaanisha kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

    Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma. Mjue tuu nyie ni wa thamani sana Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini unamuumiza mtu unaempenda (mpenzi) au yeyote yule mwenye kushare hisia na wewe?

    Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda? Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana. Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini matendo yako pia yanaweza kumhathiri mtu unaempenda kwa kiasi kikubwa. -Kuna muda, kumlinda mtu...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

    Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize. Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Viwanja bei ya ofa vikindu kwa laki saba tu

    OK HII HAIJAWAHI KUTOKEA, NI OFA BABU KUBWAA FUNGA MWAKA KWA KUMILIKI KIWANJA CHA MAKAZI KWA BEI NAFUU. Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja kwa bei ya LAKI SABA TU (700,000/=). Hii ni bei kwa wateja watakaolipia kwa Cash. Na LAKI NANE TU (800,000/=) kwa wateja watakaolipia kwa installment...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

    Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini? Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao...
  17. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

    Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

    Ndugu zangu, Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako. A quick introduction about the project;- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
  19. JamiiForums Tanzania Nimemuelewa sana huyu mdau, wewe unakubaliana nae?

  20. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…