wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

    Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
  2. Wewe binti unae tafuta mume

    Pole kwa kuhangaika maeneo mbalimbali kwa muda mrefu sana ukinitafuta, kipenzi na mume wa maisha yako huyu hapa amepatikana, ametoka kwa Mungu. karibu sana faragha iko wazi. uliemtarajia na umpendae anakusubiria kwa hamu. usinung'unike, kujuta na kuhangaika tena, maombi yako ya muda mrefu...
  3. Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  4. Moto kichakani: Kama mtoto hajafanana na wewe au mzazi wako, kaka huyo mtoto umebambikwa.

    Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe. Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto...
  5. W

    Fahamu namna ya kulinda Figo zako

    Utangulizi: Katika nakala hii, tutachunguza umuhimu wa afya ya figo na jinsi tabia fulani zinaweza kuleta tishio kwa figo zetu. Kwa kuelewa hatari zinazowezekana na kufuata tabia nzuri, tunaweza kuhakikisha utendakazi mzuri wa figo zetu na kudumisha ustawi wa jumla. UMUHIMU WA FIGO Figo ni...
  6. Mbowe acha kug'aka ovyo. Wewe unajulikana fika ni msaliti

    Naona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu. Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi. Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka. Leo...
  7. S

    Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

    Huyu ni Beyonce wa mwaka 1999 na mwaka 2023. Ndo kwanza anazidi kuwa mtoto! Uzee unazuilika!
  8. Ungekuwa wewe ungefanyaje

    Kuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu...
  9. Wajuvi wa maswala ya barabara karibu hapa mnisaidiye.hata kama wewe si mjuvi tupe hisia zako.

    Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia...
  10. Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  11. Z

    Rwanda wanaenda kuua na kuiba madini DR Congo

    Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC. Soma makala hii hapa chini ==== Rwanda is the ‘Wild West’ and should be removed from the mineral supply chain Mining industry elites use...
  12. Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

    Habari wana JF, Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk. Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo. Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence. Wewe...
  13. M

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  14. V

    Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  15. S

    Ewe askari soma hii na uielewe

  16. Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

    Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
  17. Kama huyu mzee anapata mashaka na CCM, mimi na wewe ni nani mpaka tuwaelewe?

    Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji. Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu. Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
  18. Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    Kwema Wakuu! Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi. Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
  19. Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
  20. Biashara nzuri(side husle) kwa mfanyakazi inayohitaji usimamizi mdogo

    Wadau naomba ushauri nifanye biashara gani ambayo haihitaji usimamizi kuanzia saa 2 asubuhi napoingia kazini mpaka saa 11 jioni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…