wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

    Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu. Mkoa Mwanza
  2. JamiiForums Tanzania Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

    Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali Huwezi nunua kilo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  4. JamiiForums Tanzania UKIMWI (HIV) isikutenganishe wewe na mwenza wako

    Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu. Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30. Pia nachukua fursa hii kuwapa pole na waliokutwa na kimbunga hidaya. Na ndugu zangu wa Rufiji, Arusha na Morogoro sijawasahau...
  5. JamiiForums Tanzania WEWE KAGERAÀ UMEPiGAJE HAPOO??

    Vipii ukoo jaman ngapingapi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kina baba tubadilike tupunguze ukoloni lasivyo kina mama wataendelea kuzoa points kwa watoto, uzeeni watamjali mama huku wewe uliyepambana unatengwa

    point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta watoto wanampigia sana mama yao, mtoto anakuwa bado anakuheshimu kama baba lakini shida ni kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Ikitokea umefukuzwa kazi sasa, una mbinu mbadala ya kujiingizia kipato?

    Ikitokea siku hapo ulipoajiriwa ukikosa kazi, Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

    I will be short Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k usd to 1 m usd for kibu denis. simba wanatoa 500 million contract. He is leaving for free. end of...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato? Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
  13. JamiiForums Tanzania Chuki inakudhuru wewe mwenyewe

    Utamsikia mtu anasema "hakika namchukia mtu fulani yaani sitaki hata kumwona " Huyu hajui kuwa anajidhuru yeye mwenyewe,,, kwanza anaishi na nguvu hasi ambazo zina mwangamiza na kumtafuna yeye binafsi. Hivi umeshawi kuwaona watu ambao wana roho ya korosho au kwa maana nyingine roho mbaya, hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Adam, Farao na Samsoni maanguko yao yalitokana na kumuamini mwanamke. Mimi na wewe ni nani?

    Ni mama zetu sawa, wake zetu pia, huwa tunaenjoy sana mtupapo utelezi ila ni hatari sana hawa viumbe. Ukiachana na sisi wajamba kunani maanguko ya watu wengi maarufu, matajiri, wasanii wakubwa, wanamichezo pale waangukapo basi asilimia 90 wanawake ndio chanzo. Kuna wamba wameenda mbali zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Kama umeshapita kwa wachungaji na waganga ukiambatanisha sadaka lukuki bila mafanikio, inaweza kuwa wewe binafsi ndio msaada wako mwenyewe

    Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo. Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kaza Roho usikubali kuyumbishwa, wananchi tuna imani na Uongozi wako

    Habari za jumatatu Mh. Rais Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na watu hao kwasababu ukiyumba wewe kama kiongozi wetu na sisi wananchi tutapoteza mwelekeo. Kama...
  18. JamiiForums Tanzania 'Matege Ndani' Baba yako aliyeondoka 'Mazima' aliwashindwa 'Coast Mafias' je, Wewe uliye Mwepesi utawaweza?

    Halafu acha Kuwaamini hao Waandamizi wako Watatu wa Idarani na Mmoja ni Mstaafu kwani Wanakuponza utaumia.
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

    Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi. Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee. Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako sisi tunafanya mwendelezo tu. Ungekataa kufanya tendo la ndoa kwa sharti mpaka uolewe kuna kijana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI? Tiririka mawazo yako yanaweza kuonekana. Unaweza kusimama kama waziri, injinia, mkurugenzi wa TANESCO, meneja wa bonde la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…