wenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maombi maalum kwa waliopo single wanaotaka wenza wao

    Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba. Day 05 Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
  2. D

    Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

    Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya. Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na...
  3. Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

    Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
  4. Watu maarufu ambao hujawahi kusikia kuhusu wenza wao wa maisha

    Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke. Naanza na Madam Rita. Endelea…
  5. Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

    Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ? Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
  6. Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu?

    Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu. Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki. Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu? Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
  7. Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi. Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato Are you insane?
  8. Tatizo la harufu mbaya kwa wenza. Nani wa kulaumiwa?

    Wakuu kumekuwa na malalamiko mengi kati ya jinsia me na ke kwa kila jinsia kuishutumu jinsia nyingine kutochukua hatua za kutosha kwenye suala la usafi hali inayosababisha harufu kali/mbaya wakati wa tendo na ivyo kusababisha mahusiano yaishie ICU. Nani wa alaumiwe kwa haya na nini kifanyike...
  9. K

    Katiba mpya itoe lazimisho la wagombea wenza kutoka pande nyingine ya muungano

    Kama sisi ni nchi moja kwanini tunaweka sheria za kibaguzi. Tuka uhuru sasa Zanzibar kuna wabara na bara kuna wanzanzibari sasa kuna sababu gani ya kulazimisha mgombea Uraisi kuchagua mgombea mwenza kutoka upande fulani!. Je ina maana bado tuna ubaguzi wa Muungano mpaka leo. Je sio wakati wa...
  10. GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

    Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
  11. Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

    Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
  12. E

    Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  13. Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

    Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka. Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu. Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana. Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
  14. Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  15. Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  16. Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  17. Twende serval wildlife tukaenjoy na wenza wetu

    Jamani nawaletea fursa za kuwafanya mfurahi kila wakati na kuwa sawa katika maisha yenu ya safari ya mahusiano yenu, hapa serval wildlife watu wengi hutamani kutembelea na kulisha wanyamapori na kuwafahamu, kupata historia na kupiga picha za kuvutua. Hii si yakukosa wapendwa wangu hapa ukifika...
  18. Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

    Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
  19. G

    Wanaoua na kufanyia ukatili wazazi, ndugu, watoto, n.k hakuna anaependa! shetani hana mkataba, makubaliano na mganga ni kuuziwa kiwanja baharini

    Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti yanayoleta majuto. Msione watu wanakamatwa wanabaka wajukuu zao mkadhani wote wanapenda, kuua damu...
  20. S

    Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…