wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wasanii wa hip-hop wa bongo, wamejipoteza kwenye game wenyewe

    Picha hii inamuonesha Nash MC, mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop Nchini Ni wazi muziki wa hip-hop wa bongo umepotea kabisa. Wasanii wa hip-hop hawafanyi vizuri sokoni yani kwa sasa bongo ukiimba hip-hop unaonekana kama umechanganyikiwa. Tofauti na zamani kidogo hiphop ulikuwa inafanya vizuri...
  2. JamiiForums Tanzania Kuangalia CCM wanacharurana wenyewe kwa wenyewe, inapendeza sana

    Inapendeza sana kuona wenyewe kwa wenyewe wanaumbuana hadharani na kutaka kuungwa mkono na CHADEMA kila upande kwa kwa wakati wake, inafurahisha sana!
  3. JamiiForums Tanzania Ni siku gani ndugu zetu wana Mbeya nao watajua kujisimamia wenyewe?

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ndugu zangu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe wana Mbeya wameonesha hamasa kubwa ya kutaka mageuzi nje ya CCM, lakini wanaonesha kuwa hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe katika kuyataka mageuzi hayo, mpaka kupitia kwa watu wengine kama vile wana Kilimanjaro na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuku wa Ilala (Tanzania) wameshajipeleka wenyewe Omdurman (Sudan) kuchinjwa Jumapili

    Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
  5. JamiiForums Tanzania Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

    Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka tayari keshatoa zaidi ya dola milioni 80 kwa ajili ya vfaa 20000 ambavyo vimekuwa ni nguzo ya mawasiliano...
  6. JamiiForums Tanzania Anne Makinda awataka vijana kujitafutia ajira

    Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi. Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake tupunguze mdomo, tunawaponza waume zetu wenyewe

    Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe". Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani. Dada unajijua huingizi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na BOT, mbali na watumishi kukatwa mishahara kulipa mikopo yao, watumishi waruhusiwe pia kulipa wao wenyewe waweze kumaliza madeni yao mapema

    Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
  9. JamiiForums Tanzania TFF kumfungia Haji Manara ni kujipiga wenyewe risasi mguuni

    Haji Manara ameshiriki kuuwekea taswira mpya mpira wetu Tanzania. Hamasa ya mpira tanzania imekuwa kubwa sana katika kipindi cha Haji. Haji amesababisha watu sasa wanakwenda wengi viwanjani kuangalia football jambo ambalo watu wanafahamu hivyo, serikali inajua, bunge linafahamu, TFF inajua...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara za Mwendokasi zinadharaulika na wenye mamlaka wenyewe

    Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani. Uvunjifu wa sheria na taratibu zilizowekwa umeonekana kufanywa zaidi na magari ya vyombo vya usalama, magari...
  11. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi walipukiwa na mabomu yao wenyewe

    Siku zote ukiwa dhalimu lazima yakukute..... Russian troops were blown up by their own mines while responding to a fake call from pro-Ukrainian partisans early Monday morning, according to Mariupol officials. The deaths come after more than six months of fighting as Ukraine continues to defend...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
  13. JamiiForums Tanzania TRA wapangaji hatuhitaji maelezo ya kirafiki kuhusu KODI YA ZUIO, hizo namba zenu za simu zitumieni wenyewe

    TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi. Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti. Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
  14. JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Sasa Nigeria wanatengeneza Football Games za timu zao kwenye Pro Evolution Soccer

    Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box Kazi kwenu.... https://www.reuters.com/lifestyle/sports/nigerian-soccer-joins-video-game-big-league-local-stars-get-avatars-2022-07-08/...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Sasa tuamue kutokuchuma janga ili tusilie wenyewe

    Kumekuwa na kilio majonzi na kelele kutoka kwa wananchi bara na visiwani juu ya jinsi gani ya kupata viongozi wazalendo wenye kusimamia rasilimali za watanzania ili ziweze kuwanufaisha wananchi. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ambazo zingeweza kuondoa maadui wanaoisumbua...
  17. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais tujilaumu sisi wenyewe {Tanzania nchi yangu}

    tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
  18. JamiiForums Tanzania Kawaondoeni Askari wenu wa MONUSCO huko Goma (Kivu) Congo DR kwani Wakongo Wenyewe hawawataki tena

    "Haiwezekani kila Siku Wakongo tunakufa hapa kwa Kushambuliwa na Waasi wa Mai Mai na hata wale wa M23 huku wengine Wakibakwa na Nyumba zetu Kubomolewa halafu Askari wa Kulinda Amani hawa wa MONUSCO wapo tu wanaangalia na hawatusaidii chochote. Wamekuja kutulinda Wakongo au Kukaa tu huku na...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu kama Haji Manara ili mpira wetu usonge mbele ni kujitekenya wenyewe na kisha kucheka sana

    Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…