wenyeviti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kuahirisha uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema Kanda ya Kati na Kaskazini

    Uchaguzi wa wenyeviti wa chadema Kanda ya kati na kaskazini uliahirishwa. Ndiyo juzi hapa kamati kuu ya chadema ilikutana kupitisha majina ya wagombea. Unazijua sababu za uchaguzi huo kuahirishwa? Sababu ni kwamba;- wagombea wa Mbowe ktk Kanda hizo walikuwa hawakubaliki. Kanda ya kaskazini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, mitaani/Vijijini/Vitongojini kwenu mmewafanya nini hawa wenyeviti waliopachikwa?

    Habari wapendwa. Kama kawaida sisi mitaani kwetu tunaendelea kuchukua hatua madhubuti dhidi ya wenyeviti waliopachikwa. Sisi hatupigi mtu, isipokuwa yeye mwenyewe anaamua kuachia ngazi. Njia tunazotumia ni pamoja na:- 1. Kila tunapokutana nao tunawaita "VIBAKA". 2. Kila tunapokutana nao...
  3. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 wa kata 20 za Kinondoni waapishwa

    Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao, Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye...
  4. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenyeviti wateule 106 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuapishwa Kinondoni

    Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye pia ni Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Hanifa Hamza ndiye mgeni rasmi...
  5. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Chamwino awapa kazi maalum Wenyeviti CCM / Mabalozi kuhusu uandikishaji

    Kwa sasa ndio nimeelewa kwanini cheo cha Mkuu Wilaya kinapigwa vita na akitakiwi kuwepo kabisa ni cheo cha kichawa kinachoingiza hasara tu ya kodi za wananchi. Siku ya jana Alhamisi tarehe 17, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Janet Mayanja ameitisha mkutano wa Wenyeviti wa CCM Kata na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini

    https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo tarehe 28 Agosti, 2024. Rais Samia...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka - Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu Mbunge wa Jimbo...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa

    Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa Serikali imeendelea kulipa posho za wenyeviti wa vijiji, vitongoji na mitaa ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri wanachukua Mikopo ya 10% kwa Vikundi Feki

    Rais Samia amesema Serikali inashughulikia namna itakavyotoa tena Mikopo ya 10% ya Halmashauri kwaajili ya Vikundi ambayo ilisitishwa baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2022/23 kuonesha kulikuwa na ubadhirifu mkubwa Akizungumza wakati akiwaapisha Viongozi...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zawadi Pekee kwa Rais Samia ni Wanawake Kuingia Nafasi za Maamuzi Wenyeviti Serikali za Mitaa katika Mitaa 564 Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
  11. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Tarime: Wenyeviti wa vijiji 15 wajiuzuru!

    Wenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya Serengeti kwa kuweka mipaka ambayo inatenganisha vijiji na hifadhi hiyo. Hatua hiyo ya wenyeviti...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

    “Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kihenzile, Sillo & Najma: Wenyeviti Wapya Watatu wa Bunge Waliochaguliwa

    KIHENZILE, SILLO & NAJMA - WENYEVITI WATATU WA BUNGE WALIOCHAGULIWA Bunge limewachagua Wenyeviti watatu wa Bunge ambao watasaidia katika kuongoza vikao vya Bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge au Naibu Spika kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge. Waliothibitishwa na Waheshimiwa Wabunge kuwa...
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Malipo kwa wenyeviti na wenezi CCM (wilaya, mkoa na taifa)

    Wakuu, Kwema? Huwa tunajadili mengi sana yenye tija kwa chama, Serikali na Jamii. Hii ni akili na matendo ya kiungwana sana. Sasa leo naomba tukubaliane jambo dogo tu linalohusu wenyeviti, na wenezi wa wilaya na Mkoa Ni huzuni kuona viongozi hawa kwa namna wanavyokiwezesha chama kubaki...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

    Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri...
  17. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

    WanaJf, Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023! Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka. Hii kweli inatuonesha kwamba...
  18. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wenyeviti na makatibu s/m kuongezewa majukumu

    Kutokana na makosa mengi yaliyotokea au yaliyofanywa na makarani wa sensa juu ya uhesabuji hasa vyumba katika majumba ya watu, maana katika majumba mengi huku mitaani waweza kuta nyumba ina vyumba pengine kumi lakini vingine ni stoo, vyumba vya walinzi, vyumba vya madawa ya mifugo na pengine...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti 'wakongwe' vyama vya siasa wanaopigania demokrasia

    Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na wakiwa wepesi kurusha kila aina ya kashfa kwa chama tawala. Freeman Mbowe aliingia katika uongozi...
Back
Top Bottom