wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

    Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu. Maagizo...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye uhitaji huduma za kodi TRA, barua kutoka TRA na mambo yote ya Kodi

    Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️ Huduma zetu ⚖️ 1. Ushauri WA kodi ✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March) ✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December) ✓ Ukaguzi WA kodi ✓ kufanya mapingamizi ya KODI ✓ kusajili VAT 2. Huduma nyinginezo ✓ leseni za biashara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenye gari zenye cvt mna hakikishaje mnanunua oili orijino kwajili ya cvt ?

    Ni gari zinazohitaji kudekezwa sana kwenye service nakitu muhimu zaidi ni kuzingatia sana oili iwe maalum kwajili ya cvt Watu wengi wanazikimbia kwasababu kuna oili feki nyingi zimejaa na ukithubutu kuzitumia unaua gari itaanza kuwa na matatizo chungu nzima na mafundi wetu wengi hawana uzoefu...
  4. JamiiForums Tanzania Petrol Stations za Dar es Salaam wanakataa kupima mafuta kwa wenye vidumu vya chuma!!

    Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri...
  5. JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi ya asilimia 13 kwa mwaka. Ambapo tujihakikishie kupata zaidi ya Mil 26 kwa mwaka na kwa mwezi 2.1M...
  6. JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  7. JamiiForums Tanzania WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution

    WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution fanya hivi 1. Kama bebe 😍 wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga 2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  9. JamiiForums Tanzania Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  10. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  11. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
  13. N

    JamiiForums Tanzania List ya wanasiasa waliofanikiwa Tanzania wenye umri baada ya miaka 50?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
  14. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Boni Yai na Mtozi Nyanda Yamedhihirisha CHADEMA ina Akiba ya Viongozi wenye Akili Kuliko Chama Chochote

    NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi. Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Katika wapumbavu mia angalau muweni welevu wawili wenye kuendeshwa na utashi na tafakuri binafsi bila mihemuko na trend

  16. M

    JamiiForums Tanzania Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  19. JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

    GTs, Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC. Kwa akili zangu za...
  20. JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…