wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
  2. JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la watu wenye fedha ambazo hawajui watazitumiaje, ndio mtaji wa matapeli

    Habari wakuu. Siku za karibuni pamekuwa na utapeli wa aina nyingi na aina mbalimbali unaohusiana na fedha. Kama bahati nasibu, kamari, network marketing, pyramid scheme, ponzi schemes, "online business" na aina nyinginezo za utapeli. Hao matapeli wanakuaminisha kuwa utapata faida kubwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji maalum waongezewe dakika mitihani ya darasa la 7, kesho Oktoba 5, 2022

    Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu. Na kwamba watahiniwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja wasipewe Asali

    Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum. Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wenye maduka ya jumla na reja reja nina mzigo

    Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always sanitary pads aina zote. (Long, Extra long) Cottony Soft, Maxi Soft, Ultra. 3.Gillete Razors(Silver...
  8. JamiiForums Tanzania Mbwa 20 wenye gharama zaidi duniani

    1. Tibetan Mastiff - $3,000–$5,000 2. Black Russian Terrier - $3,000–$5,000 3. Samoyed - $2,500–$5,000 4. French Bulldog - $2,500–$4,000 5. Löwchen - $2,500–$4,000 6. Cavalier King Charles Spaniel - $2,500–$3,500 7. Bernese Mountain Dog - $2,500–$3,500 8. Biewer Terrier -...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  10. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kama Rais Samia Wenye Mioyo ya uvumilivu Hawazaliwi kila Siku Na hawapatikani kila nchi, Watanzania Tuna kila Sababu ya kushukuru kumpata

    Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa tu Anayo Amri ya kuamrisha lolote kufanyika, lakini pia Kama mtu alizaliwa na moyo wa upendo na...
  11. JamiiForums Tanzania Katazo la ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu sehemu za kazi

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu. Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mazingira ya kazi kwa watu wenye ulemavu

    Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi. Hii itasaidia kuondoa hatari ya watu kuumia au kupata ulemavu wakiwa kazini au kusaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Wajibu wa kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

    Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu. Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
  14. JamiiForums Tanzania Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  15. JamiiForums Tanzania Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
  16. JamiiForums Tanzania Haki ya usawa na kutobaguliwa kwa watu wenye ulemavu

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika...
  17. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Barbra CAF; kejeli za Yanga ni ushahidi wenye akili ni wawili tu?

    Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli humu wanalijua hilo. Ila najiuliza shida nini tumekuwa haters wa kiwango hiki? Mtindo huu wa maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Wenye Akili tuliandika mno Kupinga Ujenzi wa hovyo wa 'Fremu Lugalo' tukapuuzwa, sasa hata Mama nae Boss wao 'wamekerwa' nao

    Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe mnauheshimu na Kuufuatilia ili kuwa Bora katika Utendaji wenu basi ni huu wa JamiiForums. GENTAMYCINE...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ameondoa tozo wa Wafanyabiashara, Viongozi na Watumishi wenye mishahara mikubwa si, Wananchi masikini

    Waziri wa fedha Mwigulu alichokifanya ni kuwahadaha Watanzania maskini ambao asilimia kubwa hawatumii Benki wanatumia mitandao ya simu kufanya miamala. Kwahyo sijajua Wabunge wanakazi gani kwa huu ujinga aliofanya Waziri.
  20. JamiiForums Tanzania Barabara za Mwendokasi zinadharaulika na wenye mamlaka wenyewe

    Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani. Uvunjifu wa sheria na taratibu zilizowekwa umeonekana kufanywa zaidi na magari ya vyombo vya usalama, magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…