wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya CCM: Je, January na Nape watakatiza mbele ya Wajumbe wenye hasira?

    Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini. Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Usiku wenye heri

    Ni usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo kadhaa kabla hujatoka. Preserve your precious sperms! Mkumbuke mwenzi wako na umtakie usiku mwema. Kama...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  4. JamiiForums Tanzania Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

    Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule. Naombeni...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wageni rasmi wenye tija

    Nimejaribu kuhudhuria sherehe mbali mbali kwa miaka kadhaa; sherehe za mashule, vyuo, mambo ya ujenzi n.k Na katika hizo sherehe nimeona tofauti kubwa kwa wale wageni rasmi, wanaopewa nafasi hizo. Katika risala, huwa kuna kipengele cha kuelezea changamoto walizonazo, na zinazoitaji utatuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

    Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  11. JamiiForums Tanzania Swali kwa Mliooa wanawake wenye watoto

    Ndg zangu ambao hatujuani mliomo humu, na wanachama wengne wote, hope mko vizuri. bila mambo mengi naomba nifanye kilichonileta hapa: je siku watoto wa mkeo wakianza kukudhihaki na kukudharau kwa namna yoyote, utachukua hatua gani? na kama hali hiyo iliwahi kukutokea ulijisikiaje, na ulifanya...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wenye uwezo mdogo wa kiakili ndiyo huchepuka

    Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo; 1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao. 2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled. 3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic. 4. Wanauwezo mdogo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga. Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nina swali kwenu Wachungaji wenye ujuzi na Biblia (Imani)

    Shalom! Nataka tu kujifunza na kuongeza Imani yangu! Nimekua nikishuhudia Watu wengi wakifunguliwa Makanisani kwa Macho yangu! Nimeshuhudia Baadhi ya watu wakifunguliwa kwa namna tofauti, katika kisa kimoja, mwanaume wa Makamo alikua Mgonjwa akiamini Kalogwa, alihangaika kutafuta Tiba toka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  17. JamiiForums Tanzania Warioba: Siyo wakulima pekee wenye matatizo bali hata wafugaji na machinga nalo hilo ni janga!

    Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo. Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
  18. JamiiForums Tanzania KWELI Asali ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja

    Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo. Ukipita mtandaoni utaona baadhi ya makala zikiweka marufuku ya kuwapatia watoto wachanga asali. Jambo hili linaleta...
  19. JamiiForums Tanzania Wakatoliki wenye Watoto wanaopokea Komunio ya Kwanza leo mbona hatualikani Kula Pilau?

    Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza. Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili. Nijibuni upesi kwa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya mifugo ya ngurue wenye tija

    Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea. Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la kwanza na la pili. Mawasiliano 0718982463
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…