wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukienda Wilaya ambazo wenye uwezo ni wanasiasa pekee kuna tatizo!

    Imekuwa inanishangaza sana ni sio vibaya kusemana kimaendeleo. Wenzetu wa kanda ya kati hasa mikoa ya Dodoma na Singida wanapenda sana sana uongozi hivyo usishangae kuwaona kwenye uwaziri hata usipika. Ukiangalia wakina Ndugai, Malecella, Mwigulu na hata Prof Mkumbo na madharau yao utafikiri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu kwa ajili ya wenye mioyo ya dhati

    Nimefurahishwa sana na ukweli kwamba mimi ni Mtanzania. Hii si kwa sababu nina pesa sana na matatizo yote ambayo nchi yangu inakabiliwa nayo, lakini kwa sababu ninaona wakati ujao ni bora na wakati ujao uko karibu. Hili linaweza kuwa wazo gumu kwa wengine kwani wanaweza kutaka kwenda mbali na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikali wenye mamlaka zioneeni huruma kodi za watanzania

    Salaam wana JF Weekend imeendaje kwenu Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri Hii huenda imeshuhudiwa na wengi zaidi na vingine vikionekana tu viashiria lakini hakuna jibu la moja kwa moja kubwa kuna wizi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wenye Account namba za CRDB hawajapata pesa kutoka HELSB?

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wenye tabia za sodoma na gomora wana 1,2,3,4......

    Nimebaki kujiuliza yani sehemu au maeneo kuliko shamiri sodoma na gomora ndio kuna pesa sana kuanzia upatikanaji wa kipato mpaka madili. Sehemu au maeneo hayo ndio yenye maisha ya kutisha sana yani kama ushirikina,masonic na wahalifu ndio wamejaa. Kuna siku nilipita bar fulani X aisee yani...
  10. JamiiForums Tanzania Mti wenye matunda sharti upigwe mawe

    Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake. Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P...
  11. JamiiForums Tanzania RC Makonda anafanya lile Watanzania Tunataka. Wanaomchukia ukiwauliza hata sababu hawana wamerithishwa chuki

    WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa uongozi Wa kisiasa ndio kile kile ambacho Watanzania waliowengi ambao ni Masikini waliokata tamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Zipi sifa za watu wenye Vipara?

    Kama ushawahi kuwa karibu na mtu mwenye kipara, Tafadhali sana naomba utupe sifa za hawa viumbe. ASANTE.
  13. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kutoa fedha kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum ni rushwa tupu

    Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hisabu na sisi wenye D tusaidiane kupata majibu hapa

    Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wenye vyeo serikalini wanalipwa mishahara mingapi?

    Huwa najiuliza kwa mfano mawaziri wetu wote ni wabunge. Je, wanapokea kila mwezi mishahara miwili? Mshahara wa mbunge na mshahara wa waziri? Na sasa tunaye naibu waziri mkuu ambaye ni 1. mbunge 2. Waziri 3. Naibu waziri mkuu. Huyu analipwa mishahara mitatu kila mwezi??
  17. JamiiForums Tanzania Tabia za watu wenye mafanikio/watafanikiwa

    Chukua hii, itakusaidia maishani mwako. TABIA 15 ZA WATU WALIOFANIKIWA AU WENYE MAZINGIRA YA KUJA KUFANIKIWA 1. Ni watu wenye kushukuru kwa kila jambo, sio wenye kutoa lawama. 2. Ni watu wenye tabia ya kupongeza pale wanapoona mwingine anastahili pongezi. 3. Ni watu wenye tabia ya...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

    PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000 PIXEL 6A 305,000 PIXEL 6PRO 240,000 PIXEL 7 320,000 PIXEL 7PRO 270,000 PIXEL 7PRO 230,000
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwapa fursa vijana wenye vipaji

    Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali katika sekta mbalimbali mfano kuna vijana wengi wanataaluma computer science wapo tu mtaani awana kazi...
  20. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…