wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?

    Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza? Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla? Au tuseme...
  2. JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  3. JamiiForums Tanzania Nilichogundua, ndoa ni kwa watu wenye akili nyingi sana au wenye akili kidogo. Wenye akili za wastani ndoa hawaiwezi

    Huo ndio mtazamo wangu,hutaki acha
  4. JamiiForums Tanzania HIvi zaidi ya Jina la Yesu, ni jina Gani lingine likitajwa watu wenye negative energy wanaanguka na kupata shida?

    Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai? Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo? CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
  5. JamiiForums Tanzania Wenye Gonorrhea ,Kaswende na Klamidia mutaiweka wapi sura zenu

    Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende. Wanetu mtaacha ndala🩴
  6. JamiiForums Tanzania Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

    Sabato Njema! Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua...
  7. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki linakuzwa sana, Sioni wanachofanya zaidi ya kupiga kelele, Wenye nguvu wanafanya watakalo bila breki

    Kwanza kabisa nitoe shukrani kwa kanisa katoliki, limekuwa mstari wa mbele kupaza sauti lakini kwa bahati mbaya sauti hiyo masikioni mwa walengwa ni kama kelele tu, wanaendelea kufanya wanachotaka bila breki Kama ni DP World ilishapita, Kama ni uchaguzi utafanyika na CCM kwa mazingira...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake watema Cheche: Wanaume wenye Vitambi 'Wananuka' kiukweli Wanawake wengi hatupendi Kuolewa nao

    Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie. Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

    Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu. Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika Naishi Tanga Mjini
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Bila shaka mmeshawajua wenye chama chao sasa

    Kwa ujumla tumeona wanaoimiliki sisiemu na kwa nini abdueli alitumwa akamnunue Simba, walipoona hanunuliki wakahamia kwa team mwamba waliopokea wakapokea na yakatokea yaliyofuata hadi chama kilichokua kinamiliki sufuria za ubwabwa tu leo kina maviete ghafla Wamemshindwa kumbeba na kummliki...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Wadada wenye changamoto ya usikivu hafifu wanajua kupenda na wapo moto sana

    Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana. Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa. Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri...
  19. W

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukipokea Ujumbe wenye Chuki "Futa Delete Kabisa"

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika jamii basi futa na delete kabisa ujumbe huo. Aidha, inasisitiza kujenga tabia ya kuhakiki taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…