Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.
Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini??
Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.
Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal...
Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya muarabu....
Islamic State-backed rebels armed with machetes and hoes have killed at least 52 civilians in...
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.
Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza?
Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla?
Au tuseme...
Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai?
Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo?
CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende.
Wanetu mtaacha ndala🩴
Sabato Njema!
Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii.
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili.
Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.