wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  2. JamiiForums Tanzania Modern taste of Football Analysis | Uchambuzi wa soka wenye ladha ya kisasa Burudani iliyoje

    Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇 Kipindi hiki cha...
  3. JamiiForums Tanzania Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi

    Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
  6. JamiiForums Tanzania Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa kanga weupe, kijivu nk walitoka wapi?

    Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia. Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa kanga wengine wenye rangi tofauti na hiyo walitokea wapi? Mfano sungura Mimi katika maisha yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Kujenga na Ujenzi kwa wenye kipato cha chini

    Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍 Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
  10. JamiiForums Tanzania Wenye Kupenda Kupiga Au Kusababisha Makelele Wana Asili Ya Umaskini

    Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television...
  11. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Historia inaonesha watu walionyanyaswa udogoni wanakuja kuwa wakatili au wenye hasira sana ukubwani

    EITHER: Aliathirika kisaikolojia kwa manyanyaso makali baba aliompa mama (or vice versa) plus unakuta ndugu nao wanaingilia mgogogoro huu ka kuchagua pande kupelekea ukiwa kwa mama/baba. OR: Au manyanyaso aliopokea yeye binafsi katika makuzi yake. kurubuniwa kingono, kuteswa na ndugu...
  13. JamiiForums Tanzania TBA Kuwaondoa kwenye nyumba watumishi wenye madeni

    Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umepanga kuwaondoa watumishi wa umma na wapangaji wote wanaodaiwa na wakala huo, iwapo hawatalipa madeni yao ifikapo Septemba 30, 2025. Mtendaji Mkuu wa TBA, Arch. Daud Kondoro, amesema kuwa zoezi la kuwaondoa wadaiwa hao litazingatia mikataba iliyowekwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Wale waliopanda mti uitwao MDODOMA nyumbani, nisaidieni experience juu ya huu mti

    Wengine huiita trichilia emetica. Changamoto za wadudu, matawi kudondoka, mbegu kudondoka, kuhifadhi popo, etc Karibuni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Uingereza Ulaya ni ipi exactly?

    Unaweza kujiuliza Uingereza ipo wapi na inafanya nini, katika huu mgogoro mkubwa wa dunia, mwisho wa siku ukagundua kwamba “power” ya Uingereza ipo Google na magazetini. Wakati Juha anaivamia Ukraine, Rais Macron alikuwa ni kiongozi wa kwanza duniani kulaani uvamizi ule, kusimama na Ukraine na...
  16. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wengi wenye hii alama kwenye sikio wana hatma ya kuwa matajiri

  17. T

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

    Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
  18. JamiiForums Tanzania Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...
  19. JamiiForums Tanzania Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ukimaliza kuanika Uozo agenda ijayo iwe tunatokaje kwenye Mkwamo huu tukiwa salama

    Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono! Thanks ulisema uko hata hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…