wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
  3. JamiiForums Tanzania Gen Z ndo kizazi bora na cha watu wenye upeo wa juu wa uelewa

    Gen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
  4. JamiiForums Tanzania Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Said Miraji: Tunahitaji wabunge wenye uelewa na ufahamu zaidi wa kukosoa hoja

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
  7. JamiiForums Tanzania The End of the End of CHADEMA on planet Earth - Ngoma ilivuma sasa inapasuka (Watu wote wenye akili wanajua hili)

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao. Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  9. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  10. JamiiForums Tanzania Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Damu za Raia Ndiyo Ufunguo wa Kimamlaka Uongozi?

    Kama Unavielewa Vile Vyama Vya Siri na Wanaoiiendesha Dunia Karibu Tujadili kwa Undani. Niendelee kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopotezwa kwa kuuliwa kupitia askali waajiliwa wa government yetu. Nimejiuliza kimya kimya ila jibu linakosekana ila matukio mengi huko nyuma na sehemu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee au wenye macho mmeng'amua

    Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka. Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje? CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika. Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

    Mzuka Wana Jamvi Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo Utangazaji MillardAyo Muimbaji DullAyo Kwenye Bible ZebedAyo Kabila WakaldAyo Mchezaji mpira AdebAyo Mfanya biashara ChivAyo Je una maoni yapi ? Uzi teyari
  17. JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

    Hello guys, Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  19. JamiiForums Tanzania Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  20. JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…