wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ulichokipata wewe kwa gharama wengine walikipata Kkwa bei sawa na bure

    Kwema Wakuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya pesa kufaulu Kidato cha nne, kuna wajuba gharama zao Kwa ujumla tangu Kidato cha Kwanza mpaka cha sita hawafikishi hiyo milioni Moja. Hivyo usiringe Sana Utaonekana mshamba tuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya Pesa kupata Pisikali Fulani, kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi huyu ndio mzamiaji mwenye roho ngumu kinoma, wengine wanangoja

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu mwaka 2005 mwishoni, mimi na madogo fulani wawili wa mtaani tulikuwa safarini tukielekea Kaburu. Mimi nikiwa kiongozi wa safari, tuliamua kupitia njia ya Malawi ambayo ndio nilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini utawala wa Nyerere ulikumbwa na misukosuko mingi ukilinganisha na utawala wa Mwinyi, Mkapa na wengine?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja...
  4. JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu linaweza kusababisha matatizo makubwa kwa wengine wakauawa au wakapoteza vitu vya thamani

    “Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV. Jaribio la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sisi wengine Rais Samia sio mama yetu ni dada yetu

    Nilishangaa kijiweni kizee cha miaka 70+ kinasema mama sijui kafanyaje,nikasema huyu mzee ana bahati kuwa na mama umri huu kumbe alimaanisha Rais Samia. Pia Siku ile Sugu anatimiza miaka 30 ya muziki nikasikia Rais anasema we Sugu ni mwanangu, kiukweli Rais hawezi kumzaa Sugu. Sugu ana miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mseto mbioni kama wengine tulivyotabiri. Je, CHADEMA watakubali kushiriki katika Serikali ya aina hiyo?

    Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea. Kwa misingi huo, naiona...
  8. JamiiForums Tanzania Wengine walisema hii haifai kwa mwalimu wa shule ya msingi

    JE WEWE UNA MAONI GANI AU UNAFIKIRIA NINI?
  9. JamiiForums Tanzania Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

    Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
  10. JamiiForums Tanzania Usafi wa choo ni muhimu, Yafanye matumizi yake kuwa salama kwako na kwa wengine

    Choo ni moja kati ya sehemu muhimu katika makazi yoyote ya watu iwe nyumbani, Ofisini, sehemu ya biashara na maeneo mengine. Choo huweza kutumika kibinafsi (privately) au kijumuiya (Publicly) kutegemeana na eneo husika. Choo kinapotumika kibinafsi shida na changamoto inakuwa sio kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

    "It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in...
  13. JamiiForums Tanzania Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

    Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena. Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa. Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai. Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae...
  14. JamiiForums Tanzania Yemi Alade afunguka; Zuchu kamfunika Davido na Wanaija wengine

    Baada ya Zuchu kufanya show kwenye jukwaa la kimataifa kwenye African Day ambayo host alikuwa Idris Elba. Zuchu alifanya show ya kukata na mundu kiasi crowd yote ikabaki na butwaa hapo mjini Lagos kwa wapopo. Akaibuka yemi Alade akaongea na media za kimataifa akasema ameshangazwa na show ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

    Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa. Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli. Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw. Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine. Tenda hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Ufanye ushiriki wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa salama kwako na kwa wengine

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Mitandao ya kijamii kwa zama zetu hizi imekuwa mtindo wa maisha na nguzo muhimu ambayo inawasaidia watu kupata taarifa, burudani, elimu, furaha, ajira, marafiki, wapenzi n.k. Mitandao hii imekuwa na nguvu kiasi ambacho imeanza kuzingatiwa kama miongoni...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali mtafuteni huyu katili ili iwe fundisho kwa wengine

  18. JamiiForums Tanzania Dar: Panya Road wengine 25 wapandishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka 6

    Kundi lingine la wahalifu 25 ambao wengi wao ni Vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliokamatwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha ikiwemo mapanga. Watuhumiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

    Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa. - Kuamka saa tatu ama nne asubuhi. - Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
  20. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na vijana wengine mlio kwenye siasa, kuna maisha nje ya siasa!

    Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…