Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU.
HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU.
Tatizo watu...