wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  2. Je, kuna jitihada zozote za kutengeneza maprofesa wengi huko vyuoni?

    Wanachuo wengi wanasoma kwa kutegemea ufadhili wa kutoka sehemu mbalimbali, inawezakuwa kwa: serikali, shirika, chuo, familia n.k Gharama za kusoma degree, na masters sio kubwa sana, ndio maana hata ufadhili wake hauna changamoto sana. Ukija upande wa PhD , gharama zinakuwa kubwa sana na wengi...
  3. J

    Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

    Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa. Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
  4. P

    Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

    Ndiyo, Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania, Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini? Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi? Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri...
  5. Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

    Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam. Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea katika moja ya migahawa mikubwa tu hapa katika wilaya ya Kinondoni na ndipo nikabahatika kukaa na...
  6. Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

    Marehemu Idi Amin Dada.... 1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu) 2. Alichukia Uonevu na Dharau 3. Aliwapenda sana Wananchi wake 4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza 5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake 6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo 7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake Sasa wakati...
  7. B

    Kwanini Mawaziri wengi awamu ya Tano na sita wanapoingia ofisini uanza kuwachongea wakuu wa taasisi waliowakuta waondolewe?

    Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake, kilimo Kila sehemu anataka yeye atawale nk Je, wanapata wapi nguvu yakufika ofisini na kuanza...
  8. H

    Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  9. S

    Mtu aliesema hata mpinzani akishinda uchaguzi asitangazwe, ni lazima aenziwe hata kwa unafiki kwani kawabeba wengi

    Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe. Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa...
  10. Namna elimu ya 'Balagha' inavyoingiza watu wengi kwenye Uislam

    Balagha ni elimu ya maneno au Hotuba inayoathiri, na kumsogeza mtu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Ili kuielewa vyema, hebu turudi nyuma na tuangalie jinsi tunavyowasiliana, Tuna mawazo au hisia ndani yetu, tunaita ''Maana katika nafsi'' Ili kueleza mawazo au hisia hizo, tunatumia...
  11. Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

    Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii. Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo. Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua. Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
  12. Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
  13. Siri ambayo wanaume wengi hawaijui kuhusu wanawake

    Habari! Kuna mambo hayabadiliki na hayataweza kubadilika karne na karne. Labda binadamu sisi tuliopo tuondoke duniani na kuja kizazi kingine. Jambo ambalo wanaume wengi hawalijui ni kwamba " wanaume hawachepuki, hawacheat na hawapaswi kusalitiwa na mwanamke" Suala la mwanaume kuwa na mke au...
  14. S

    Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  15. Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

    Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana...
  16. Imekaaje Watanzania wengi kuwasilisha kuuza figo zao Muhimbili kisa umaskini?

    Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
  17. Kwanini watu wengi wanapendelea RAM kubwa kwenye simu bila kufahamu matumizi halisi ya RAM

    Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
  18. Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali. Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
  19. Wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui. Tatizo ni nini?

    Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
  20. Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…