wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  2. JamiiForums Tanzania Kosa wanalolifanya watu wengi na kuwagharimu katika maisha yao yote.

    Habari! Katika maisha watu wengi wanasahau kuweka kumbukumbu ya watu wanaokutana nao na reactions zao. Kila mtu unayekutana anaweza kuwa daraja la kupanda , kushuka au neutral yaani ni mtu tu hana msaada kwako na hawezi kuwa daraja la kukushusha. Mtu ambaye ni adui atabaki kuwa adui tu maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

    Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda 🇷🇼. Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
  5. JamiiForums Tanzania Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  6. JamiiForums Tanzania Ianzishwe mikopo ya wahitimu na sharti la kuipata iwe vyeti na vitambulisho vyao

    Vijana wanapenda kujiajiri ila wengi hawana mitaji anzisheni mikopo ya graduates ila kuipata mwaangalie vyeti tu na vitambulisho vyao ili wajiajiri wenyewe na kodi zitaongezeka. Wazazi wamejinyima wamewasomesha watoto ili wapate ajira. Wazazi wengine hata nguo nzuri hawakununua, wala nyama na...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanaokimbilia mijini wakitokea vijijini wanajiandaa kuzeeka wakiwa maskini

    Hello! Kasi ya vijana kukimbilia mjini hasa Dar es Salaam imekuwa kubwa mno na inatisha. Ni kawaida sasa kila kijana uliyesoma naye primary au sekondari ukimuulizia yuko wapi atakuambia yuko Dar. Ilinifanya mpaka Takwimu za NBS kuhusu idadi ya wakazi wa Dar es Salaam niliona imepunguza idadi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan sikiliza kilio cha wengi, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu

    Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana. Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!! Umeme kuunganishwa umepanda kutoka 27000 mpaka 320,000 ndugu yangu rais wangu nakupenda Sana hapa wanachi...
  10. JamiiForums Tanzania Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania Maziwa haya(Lakes) yanaweza kuua watu wengi sana

    Hii inatokea kwenye maziwa yaliyopo kwenye maeneo yenye volkano, hasa crater lakes. Maeneo ya volkano huwa na gesi nyingi sana ikitoka chini, hasa hasa carbondioxide. Gesi hiyo inaweza zama kwenye maji kama ambavyo gesi huzama kwenye soda. Sasa maziwa kama ziwa Ngozi Mbeya, ziwa Nyos huko...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

    Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya. vitu hivi ni 1. Katiba kama ya Kenya 2. Mahakama kama ya Kenya Yaani hivi vitu viwili...
  13. JamiiForums Tanzania Uzinzi na ulevi ndio sababu ya Watanzania wengi kuwa maskini na mafukara

    Hivi vitu viwili vikikutawala haswa hata ukiwa Meneja unaweza kupitwa kimaendeleo na dereva wako. Mifano ni mingi mno, hata msomaji bila shaka una mfano wako jinsi ulevi wa pombe na uzinzi ulivyowaharibia watu. Kijana mwenzangu please weka kando uzinzi na ulevi, kisha tazama matokeo. Unaweza...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mafundi wengi huikimbia miradi ya serikali ya ujenzi kutokana na mlolongo mrefu wa malipo!

    Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa upatikanaji wa fedha za malipo kwa mafundi wakuu na vibarua wao! "Unajuta day worker anaomba hela yake...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

    Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba...
  17. JamiiForums Tanzania Wengi bila kujijua tunaishi maisha yenye hatari "cursed life"

    Kwanza nifafanue kased life ni ipi. Kwa kizungu .. inaitwa cursed life. Ni Hali ya kuwa na bahati mbaya maishani mwako. Wengi hawaijui hii. Nitoe uzoefu kidogo. Kwa wale wagumu kuunganisha dot.. Perspective yangu inakwenda kwenye mahusiano baina ya mwanamke wa mtu na wanae. Ambapo baadae...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
  19. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa na vyuo na graduates wengi wa IT hapa Tz kwanini hakuna maajabu wanayofanya?

    Wengi (sio wote) Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti) - IT, computer science, computer engineering, cyber...
  20. JamiiForums Tanzania Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…