wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  2. 2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

    Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu. Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali. Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua. Najua siku chadema wataanza mikutano ya...
  3. Watanzania nadhani wengi tumefika Jehanamu hata kidogo tu. Au ndo tumeshafika?

    Maisha ya watanzania wengi ni ya dhiki, adha na mateso. Mchana inzi usiku mbu. Watanzania maskini wanakamuliwa maziwa yameisha sasa wanakamuliwa damu. Maji ni shida ,umeme ni shida, chakula ni tabu, pesa wanapata kundi la watu flani tu. Mnasema tutafika mbinguni tumechoka.... Hamna...hamuwezi...
  4. Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

    Published Oktoba 21, 2022  Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika Historia ya Wanadamu,kwa hiyo ni lazima tujiandae. Kwa wenye...
  5. Sasa hapa ndo utagundua Sisi Wapumbavu tupo wengi kuliko Werevu/Wenye Akili

    Trust me. Hili kama huamini pitia threads za humu ndani. Utagundua wenye akili ni wachache sana. Wengi ni vilaza. Sisi Vilaza ni Jeshi Kubwa. Mwenyewe akangalia threads zenye vichwa vya habari kama hivi. 1. Naombeni Ushauri.nimemfumania mke wangu mara tatu sasa nifanyeje 2. Nimempa Mimba...
  6. Hawa Mabeberu tunawasingizia tu. Marais wa Afrika wengi hawana akili. Msome alichofanya Tsishekedi wa DRC ni aibu

    Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu. Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
  7. Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
  8. Waendesha mashtaka mnapaswa kushikamana na haki, usibadili msimamo hata kama watu wengi wanakupinga

    Shikamana imara na msimamo na usibadilishe msimamo kwa kuwa watu wengi wanakushambulia, au wanakasirishwa na maneno yako. Maadam uko kwenye Haki, basi shikamana nayo na kuwa na msimamo, kwani Haki haishindwi (Na Baatwil). Kwa hiyo, pigania (Haki) hata katika hali ya udhaifu (uko peke yako)...
  9. Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  10. N

    Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  11. Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  12. Waraibu wengi ni wanaume

    Rais Samia akizungumzia juu ya uraibu wa dawa za kulevya imebainika kuwa wanaume wengi ni waraibu ukilinganisha na wanawake. Amesema mwaka 2018 waraibu 1600 walisajiriwa. Na hali ilivyo hivi sasa waraibu wanaohudumiwa ni zaidi ya 2000 ambapo wanawake ni hawazidi 150 na wanaume ni zaidi ya 2000...
  13. Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

    Mshana Jr mzee wa bata siku 5460, naomba jawabu lako. Damu ya bata ina nini kiasi kwamba haitakiwi na waganga, haitakiwi kwenye tambiko na wala haitakiwi kwenye zindiko?
  14. Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  15. Daktari: Mirembe kuna Wagonjwa wengi Wanaume kuliko Wanawake

    Imeelezwa Hospitali ya Mirembe ambayo ni Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Afya ya Akili iliyopo Dodoma kitakwimu ina idadi kubwa ya wagonjwa wa aina hiyo Wanaume kuliko Wanawake. Bila kubainisha namba, Daktari wa Mirembe, Veronica Lyimo amesema takwimu za umri zinaonesha wanapokea zaidi vijana...
  16. Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  17. Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

    Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote. Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi. Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa...
  18. Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

    Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki. Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
  19. Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

    Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar. Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
  20. Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

    Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani. Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake. Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…