wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wasanii Wanatakiwa Kuwa Makini Na Ulevi Wa Aina Yoyote, Wengi Wao Maanguko Ndio Yanaanziga Hapo

    Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina kubwa sana Tanzania. Mwisho wa siku, watu wakaamua kumpoteza. Walitaka ashuke na kuwa chini kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Utatiti: Waamuzi wengi karibia asilimia 75 ni form four failure na division four ya mwisho hivo maamuz yao yanaakisi upeo mdogo wa kuchakata taarifa

    Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi. Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Aliyeomba yohana mbatizaji akatwe kichwa ni mwanamke: Wanaoshangilia utekaji wengi wao viongozi wa kike, Aliyemuuza adam ni mwanamke

    Linapokuja suala la ukatili, viongozi wa kike wameonesha roho mbaya za waziwazi kabisa! Michango ya wabunge inatia simanzi! Kushangilia utekaji na mauaji ni ishara ya juu kabisa ya uchawi! Kama kuteka ni suruhisho hatuna budi kuwa na mahakama na magereza. Viti maalum vimeonesha waziwazi siyo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe akienda CHAUMMA wengi tutakuwa mwanachama wa CHAUDEMA

    Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri. Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  6. JamiiForums Tanzania Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

    Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua. 1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka. 2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti: Mikoa inayoongoza kwa watu kuwa na mahusiano (ya kimapenzi) na watu wengi

    Unaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake😅😅 Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano ya kimapenzi na watu tisa, Lindi watu nane na Dodoma watu watano. Chanzo: Ripoti ya Afya, Malaria na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wa Denmark huendesha baiskeli ili kuepuka foleni na msongamano kwenye mabasi. Watu 9 kati ya 10 wanamiliki baiskeli nchini humo

    Watu wengi nchini Denmark, hasa wanaoishi mijini, wanapenda sana baiskeli zao. Hufanya hivi ili kupata uhuru binafsi ambao unawapa fursa ya kuingia na kutoka kwenye msongamano wa magari mjini. Ukiwa kwenye baiskeli, huhitaji kusubiri kwa muda mrefu. Huhitaji pia kungoja basi lifike au kuingia...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wapenda haki

    Ukiangalia comments za watu wengi waliotoa maoni kwenye hotuba ya Dr. Josephath Gwajima aliyoitoa Jana, utagundua kuwa asilimia kubwa sana wanamuunga mkono na kumpongeza kwa sababu ya aliyoyasema! Inajulikana kuwa Askofu Gwajima ni CCM, lakini kwa sababu hoja zake zimeweka mbele maslahi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wameliamsha Dude. Gwajima asjibiwe ili akasirike amwage Mchele kwenye kuku wengi

    Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua. Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao?

    Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao? Naombeni majibu hapa... na kama ni kweli, tufanyeje? na kama si kweli, shida hasa ni nini hadi vijana wengi wateswe na mapenzi kizazi hiki ilihali wako matured? 🥱
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu ni mmoja ya Members wenye Maadui wengi sana humu JF. Hadi watu wa Mfumo wanamtafuta sana

    Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao. Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi bado wanaamini wachawi?

    Swali : Kwanini watu wengi bado wanaamini wachawi? Jibu kutoka chat GPT Watu wengi bado wanaamini wachawi kwa sababu ya sababu za kitamaduni, kisaikolojia, na kijamii. Hapa kuna maelezo ya kina kuhusu kwa nini imani juu ya wachawi bado ipo katika maeneo mbalimbali duniani: 1. Imani za...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

    Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine. Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix. Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

    Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi, Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra kwanza. Wewe kama ni mwanafunzi (unalelewa na mzazi) na unataka kuanza maisha ya kujitegemea, si tu...
  18. JamiiForums Tanzania Tukisema sisi labda mtafungia mada zetu sikilizeni huko Kenya wanachokisema

    Wakenya wana uhuru wa kuhoji embu sikilizeni hii video mpaka mwisho.
  19. JamiiForums Tanzania Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

    Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo Ni mbinu gani ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…