wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

    Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa. Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  3. JamiiForums Tanzania Familia imempotea ndugu yao ila Polisi wanasema kutambua mtu kuwa amepotea ni mpaka pale masaa 24 ndipo watatoa kibali kutafutwa

    Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida. Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita muda mwingi bila kupokelewa. Mke wake pia nasikia alipiga simu kazini kwake wakasema leo hakwenda...
  4. JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Utafiti unaonesha Watanzania wengi wanaikubali Serikali yao

    “Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Foleni ya Tunduma mpakani haitatuliwi, kuna Watu wana maslahi Binafsi, inatutesa wengi

    Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha Uchumi wa watu wengi na unawafaidisha wachache. Kuna kiongozi wa masuala ya Usalama (jina...
  6. JamiiForums Tanzania Milioni Siyo Hela Kubwa: Program iliyowakomboa wengi

    Safari hii nilitaka watu 20 na saizi wametimia Asante Kwa kuniamini
  7. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kuwa na wanawake wengi na uchumi

    Nimejaribu kuwaza sana, baada ya kuwa na watoto kadhaa kwa hizi pisi kali zangu. Nikaona njia ya kuwaweka pamoja leo na kesho ni kuwashirikisha katika kutekeleza mawazo yangu kibiashara, ili wao na watoto wao waweze kupata chochote pamoja na kujivunia kuwa na mwanaume mwenye upeo wa kuona...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Kizamani unaotumiwa na CCM kujaribu kuwadanganya wapiga kura ambao wengi walizaliwa 1990-2007

    Zamani CCM ilikuwa inatumia watu wa vijijini wasio na elimu na uwezo wa kuhoji wala kujaji chochote, walikuwa wakiaminisha watu kuwa bila wao CCM basi Tanzania haitakuwa na Amani, Na ninashangaa kwa kutumia wazee wa zamani , bado wanaendelea kutumia staili na propaganda za zamani ambazo ni...
  10. JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dharau za wanawake kwa waume zao zimesababisha wanaume wengi kuwa na hasira na kuwa kama vichaa. hakuna anaejali Men mental health

    wanaume wengi wanaonekana watu wabaya sababu ya mental health problems walizozipata kwa dharau za wanawake. "Hakuna anayejali afya ya akili ya mwanaume hadi itakapogeuka kuwa hasira na ukichaa, ndipo kila mtu huanza kumwona kama mtu mbaya."
  12. JamiiForums Tanzania Kila Mnoreform aweke ushahidi wake hapa kwamba ni mtanzania kweli, kuna tetesi eti wengi wenu ni wakenya?

    Hata mimi napata wasiwasi pengine kweli, so wasijekuwa wanatwanga maji kwenye kinu Manake wenzetu jirani kwa kutumia mitandao wapo vizuriiii, Unajua kwanini? Threads yenye comments zaidi ya 100 lakini wachangiaji ni 16 tu, hapa lazima tupate mashaka kidogo
  13. JamiiForums Tanzania Biashara 25 Ambazo Zinadharauliwa Na Watu Wengi Lakini Zina Faida Kubwa. Chagua Yako

    1. Mgahawa/mama ntilie Maeneo bora: Masokoni, migodini, stendi, karibu na vyuo au hosteli. Faida: Mauzo ya kila siku, gharama ndogo za uendeshaji, wateja wa kudumu. 2. Udalali wa bidhaa na huduma (dalali wa kila kitu) Kuanzia viwanja, nyumba, magari, hadi samani. Faida,Unahitaji ujuzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu Poor brain, mateso ya Mama wa Kambo hauko peke yako, tumeyapitia wengi

    Pole sana mkuu hauko peke Yako tumeyapitia wengi, mim nilikuwa nanyimwa maji ya kunawa uso Ile asubuhi kwenda shule kisa maji sikuyachota, Kuna siku shule walituma vipande vya Kuni asubuhi yake nikadokoa kimoja kisiri huwezi amini alinifata mpaka shule na kanga Moja kunipokonya ukuni...
  15. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

    "Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wanaoikemea serikali ya Samia na kusaidia watanzana wengi baada ya kukimbilia uhamishoni nje ya nchi

    1. Edgar Mwakabela au SATIVA 2. Msabaha 3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu) 4. Titto Magoti 5. Maria Sarungi Ongeza wengine
  18. JamiiForums Tanzania Ongezeko la single mothers ni matokeo ya Wanawake wengi kujirahisisha na kutotii wazazi au walezi wao.

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda waongee Kiingereza ila cha ajabu inawapiga chenga

    Habari zenu? Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia. Asanteni.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…