Kuna hali ya ndani inayokua kimyakimya katika taifa letu, hali inayosababisha movement nyingi lakini progress ndogo. Wengi wetu tumejenga maisha yetu juu ya misingi ya kujituma, kutumika, na kutoa huduma halisi kwa taifa. Tunazalisha kwa mikono, kwa akili, kwa muda, na hata kwa ndoto. Tunaamka...