wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za wazungu zinazidi kuanguka katika jina la wema uliopitiliza, inclusivity, kuwa open minded na tolerancy, ipo siku isiyo na jina watalia kilio

    Nchi nyingi za kizungu zimeendekeza sana mambo ya kuwa open minded, Leo hii mtu anaweza kuchoma bendera, na ikaonekana sawa tu. Wageni wengi sana wasio na vibali wanaingia na kuruhusiwa uwa raia, hapo juzi tu tena mwaka huu nchi ya Spain imekubalia wageni laki 5 Wazungu kwenye kuzaliana...
  2. JamiiForums Tanzania Makinikeni na huu utapeli wa FB

    Soma hili tangazo We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances. Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752 Pick up or can help deliver at an extra fee. Thank you. Wanajifanya ni foreigners wanaondoka nchini hivyo wanauza vitu vyao vya...
  3. JamiiForums Tanzania Je hii inafaa kusema tenda wema uende zako?

    Kisa Kinachosambaa sasa nchini Misri.. Vyombo vya habari nchini Misri vimesambaza kisa cha kusikitisha cha daktari mmoja aliyetumia zaidi ya miaka 30 akifanya kazi nje ya nchi yake, akiwa nchini Saudi Arabia, akipambana kujenga mustakabali wake na wanawe. Katika kipindi cha miaka 16 pekee...
  4. JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  5. JamiiForums Tanzania Binadamu watatu wema hapa duniani

    🍂🍂🍂
  6. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia tubu, waombe radhi Watanzania wema

    1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa wasamehewe? kweli ? basi samehe na wabakaji magerezani wa mihemko, naomba tuombe radhi tuliotumia nguvu na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenerali Ulimwengu aonya vikali mauaji ya raia wema wanaopambania nchi yao

    Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Watu Wote Mlio Wema, Msibariki Dhambi

    Watu wote tusipenda uovu, tunaomkiri Mungu wa Kweli, tujitenge kabisa na uchaguzi huu uliojaa uovu, unaotumika kuwahalalisha waovu. Hivi kuna mtu asiyejua ni nani anahusika na utekaji na mauji ya watu wanaokosoa maovu? Kuna mtu asiyejua ni chama gani kinahusika na huu uovu wa kuteka, kuua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Padre: Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya

    Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani". Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
  10. JamiiForums Tanzania "Shukrani ni zaidi ya asante" siri ya mioyo yenye neema na mioyo isiyojua wema

    Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno...... "SHUKRANI" Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza. Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
  11. JamiiForums Tanzania Wema na uovu ni kama pande mbili za sarafu!

    Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili. Unasema utauangamiza uovu. Uovu hautopinga azimio lako. Badala yake, utakupatia zana na rasilimali nyingi zinazoonekana kutokuwa na mwisho...
  12. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wema wanakufa. Wabaya wanakufa. Sasa niwe mwema ama m-baya ndani ya jamii?? Wema una faida gani??

    Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram. Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu mwema kwa maana wema wanakufa na wabaya pia wanakufa. At least labda ingekuwa wema wanaishi muda...
  14. JamiiForums Tanzania Tutende wema, ipo siku ule wema utakulipa

    Kuna rafiki yangu mmoja tulikutana naye shuleni (sekondari) miaka 35 iliyopita; Kiuchumi, wao walikuwa wako vizuri kiasi kwa kipindi kile. Katika shule tuliosoma, shule yetu ilikuwa na changamoto ya madawati; wapo waliokuwa wakikalia matofari kutokana na upungufu wa madawati na wachache...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

    Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa. Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Aliyesema wazuri huwa hawafi amekiona cha mtemakuni yeye na familia yake

    Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nadharia ya "utu wema" toka kwa gwiji la falsafa duniani - Aristotle

    https://www.facebook.com/share/r/196jATvBN Wakati anaichambua Nadharia hii ya "utu wema" alimalizia kwa kusema "Tabia njema ni msingi wa maisha Bora"
  18. JamiiForums Tanzania Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
  19. JamiiForums Tanzania Wema usio Hitaji Malipo

    Katika siku za Nyumba, nilikua na Rafiki yangu kipenzi sana, Ambae yeye Wala hakua na urafiki wa kweli kwangu. Baada muda kupita alipata maradhi ambayo yalihitaji kufanyiwa upasuaji na malipo yalikua ni kiasi Fulani Cha pesa, Kuna mtu alipata Taarifa mshikaji kuugua miongoni mwa marafiki Zetu...
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wema Sepetu hiki ni nini ulichokivaa, ona unavyoshambuliwa mitandaoni

    Wakuu! Tanzania's Sweetheart Wema Sepetu amepokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa watumiaji wa Mitandao ya kijamii kwa hiki kivazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…