wekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

    Habari Wakuu, Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu. Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la...
  2. Wekeza kesho yako iwe Njema Kwa Mola wako

    Ndugu zangu kama heading inavyojieleza. Kuna ndugu yetu katika Imani yeye ni hafidh WA Qur'an na yupo huko Magore jijini Dar es Salaam,ana madrassa anafundisha vijana wetu. Lengo lake kubwa ni kujiendeleza kielimu ili walau afikie ngazi Fulani,mara ya Kwanza alipokuja dar kutoka kwao mkoani...
  3. Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI. Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi. Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
  4. Wekeza Kwa ndugu zako usaidiwe Majukumu!

    Jamii zetu nyingi ni masikini na ni watu wachache Sana ambao ndio wamefanikiwa na hivyo kuwafanya wawe na majukumu mengi Sana katika ukoo....na kuwafanya wawe kimbilio ktk maswala mbali mbali yawe ya furaha na kuhuzunisha. Na kibaya Zaidi ni kama vile watu hawa waliofanikiwa wanainjoi Sana kuwa...
  5. F

    Plot4Sale Wekeza kwenye ardhi

    MOSHI!! MOSHI!!! MOSHI!! Shamba Heka 6 kwaajili ya kilimo na makaziLinauzwaa Moshi, Location; Newland, nyuma ya mashamba ya TPC Shamba ni heka 6 liko sehemu moja, kuna nyumba ya room 3 za wafanyakazi, mabanda kwa ajili ya mifugo, jiko na choo, liko flat kabisa na limezungushiwa uzio mzuri wa...
  6. Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  7. Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

    1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya 2. Mafuta na Gesi
  8. L

    Jinsi pesa inavokufanyia kazi kwenye Ujenzi

    Moja kati ya nyenzo zinazowanyanyua watu wengi na kuwa na utajiri basi ni miradi ya kupangisha nyumba(Real estate), nichukue nafasi hii kuwaonyesha michoro ya 3d ya nyumba za kupanga, zikiwa na self tu ( ziko nne) na self pamoja na sebule(ziko tatu)// saizi ya kiwanja ni mita 20/kwa 20...nichek...
  9. M

    Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

    Nchi inafunguliwa Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa...
  10. Azam Media wekeza pia kwenye eneo la waamuzi wa ligi

    Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi. Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha wanaoamua wasiangalie kabisa mechi za ligi kuu zenye makosa makubwa ya wazi na makusudi ya waamuzi...
  11. Mtanzania, wekeza na kufanya biashara Comoro

    Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini. Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
  12. Je, Rostam Aziz anasahau kuwa Tanzania na Kenya ni tofauti kwani yawezekana kwa Kenya kumuona Rais na kuambiwa wekeza sio kutokufuata sheria?

    Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa. Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake...
  13. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  14. A-Z: Wazo langu la biashara lililokamilika kwa kila kitu linalohitaji Mtaji

    Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…