wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  2. JamiiForums Tanzania Shetan gani kawaingia madada wazuri hivi wanavuta shisha jamani

    Ijumaa Iliyopita Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema. Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha. Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya. Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

    Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke. October tunatiki kumuunga mkono mama...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji Utulivu: Niende nchi gani yenye watoto wazuri?

    Uzi tayari.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  7. JamiiForums Tanzania Aliyesema wazuri huwa hawafi amekiona cha mtemakuni yeye na familia yake

    Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi wa habari wazuri sana, vyeti sio tatizo

    Nimeona baadhi ya watu wakishangalia baada ya tetesi kwamba waandishi wa habari kadhaa wamepukutishwa kutoka vyombo kadhaa vya habari kwa madai ya kukosa vyeti vya taaluma, washangiliaji wanaowana waandishi wa habari wengi wa bongo kama machawa zaidi na watu wasio na weledi, hili jambo ni ujinga...
  9. JamiiForums Tanzania Wadada weupe na wazuri wa asili piteni hapa mjibebee maua yenu

    Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi. Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Wajumbe siyo watu wazuri wamchimbia kaburi mgombea ubunge

    GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
  12. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    “My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview. Chanzo: The Nairobi Times Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe kaenda kumkumbushia Hela ya Matumizi ya Siku.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Arusha wazuri sana kuwatoa out, hawafeki maisha, wanagonga "nyeupe" kwa uhuru sio visavana, hawana tabia za kumkomoa mtoaji

    Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
  14. JamiiForums Tanzania Wadada wazuri mna shida gani lakini?

    Tajiri hasalimii. Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo. Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema. Hivi huwa mna nini...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli walimu wa kike ni wazuri katika ndoa?

    TUJIKUMBUSHE; TUJADILI. Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa. Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume aliyeoa au atakayeoa mwalimu hasa mwalimu wa shule ya msingi atapiga hatua kubwa ya kimaendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna majini wazuri, yote ni mapepo machafu

    Kuamini kwenye MAJINI ni dalili za uchawi
  17. JamiiForums Tanzania Majinn wazuri wakiponya Watu

    Ach kuteseka Tafuta Majinn Okoa Muda mja wa Allah Nawaonya Acheni kusaka Miujiza. Mtapigwa Kam Ngoma
  18. JamiiForums Tanzania Kuwa na Viongozi Waadilifu na Wasimamizi Wazuri wa Katiba ni Jambo Jema, Lakini Jambo Jema Zaidi ni Nchi Kuwa na Katiba Nzuri

    Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio. Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali imeonesha kuwa uadilifu wa viongozi hauwezi kufanikisha maendeleo ya kudumu iwapo haujawekwa ndani ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…